-
Ngao ya anga ya Syria yatungua makombora ya Israel
Apr 13, 2019 03:00Syria imetangaza kuwa, mfumo wa ulinzi wa anga wa jeshi la nchi hiyo umefanikiwa kutungua makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na mji wa Hama.
-
IPU: Uamuzi wa Marekani dhidi ya Golan ya Syria unakiuka azimio la UN
Apr 11, 2019 09:24Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) imelaani uamuzi wa upande mmoja wa rais wa Marekani kuutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kama mmiliki wa Miinuko ya Golan ya Syria na kusema uamuzi huo unapingana waziwazi na azimio nambari 497 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la Rais Putin la kuweko juhudi za pamoja za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Apr 10, 2019 02:09Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya kutwishwa nchi hiyo vilivyoanza 2011, ulipelekea Syria kugeuka na kuwa medani ya makabiliano baina ya Wamagharibi na waitifaki wao wa Kiarabu pamoja na Uturuki hapo awali dhidi ya mhimili wa muqawama ukijumuisha na Russia.
-
Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela
Apr 07, 2019 02:33Mgogoro wa kisiasa wa sasa nchini Venezuela ulianza 10 Januari mwaka huu wakati Rais Nicolas Maduro alipoapishwa baada ya kushinda katika uchaguzi wa Rais uliosusiwa na wapinzani na hivyo kuchukua usukani wa kuiongoza nchi hiyo katika duru ya pili.
-
Mfalme wa Jordan: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Apr 06, 2019 10:14Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amesema kuwa, kwa mujibu wa hati na maazimo yote ya kimataifa, milima ya Golan ni ardhi ya Syria isiyotenganishika na ardhi nyingine za nchi hiyo.
-
Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria
Mar 31, 2019 22:21Ikiwa ni katika kuendelea kujikomba kwa lobi za Kizayuni, rais wa Marekani Donald Trump, tarehe 25 Machi, 2019 alitambua rasmi kumilikiwa na Israel milima ya Golan ya Syria.
-
Nchi za Kiarabu zatakiwa kuchukua hatua za kivitendo kuilinda Golan ya Syria
Mar 30, 2019 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika itaziongoza nchi nyingine za Kiarabu na jamii ya kimataifa katika kutoa radimali kwa hatua ya kichochezi ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel.
-
Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi
Mar 29, 2019 03:43Katika mwenendelezo wa operesheni za jeshi la Syria kwenye maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti zana na silaha zilizosalia kwa magaidi, yakiwemo makombora aina ya TOW ya Marekani.
-
Syria yalitaka Baraza la Usalama la UN liitishe mkutano wa dharura kuhusu Golan
Mar 27, 2019 11:38Serikali ya Syria imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liitishe kikao cha dharura cha kujadili hali ya hivi sasa ya Miinuko ya Golan, kufuatia hatua ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi miinuko hiyo kuwa ni mali na miliki ya utawala haramu wa Israel.
-
Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote
Mar 26, 2019 03:02Syria imesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa milki ya utawala haramu wa Israel katu haiwezi kubadilisha ukweli kwamba miinuko hiyo ni mali halali ya Syria.