-
Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS
Mar 24, 2019 10:47Russia, Syria na Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch wamepinga madai ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kwamba magaidi wa Daesh (ISIS) wameshasambaratishwa kikamilifu katika nchi za Iraq na Syria.
-
Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria
Mar 24, 2019 07:46Hivi karibuni na kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rais Donald Trump wa Marekani alidai kuwa utawala haramu wa Israel unayo mamlaka ya utawala wa miinuko ya Golan.
-
Syria: Marekani ndio tishio la usalama na amani ya kimataifa
Mar 22, 2019 20:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria sambamba na kulaani vikali matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, imesema kuwa siasa za kupenda kujitanua na za mabavu za Washington, ndio sababu kuu ya kuibuka ghasia na tishio kwa usalama na uthabiti wa kimataifa.
-
Rais wa Syria akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi
Mar 20, 2019 04:13Rais wa Syria Bashar al-Assad amekosoa vikali sera ya undumakuwili ya baadhi ya nchi katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Russia: Magaidi wote wa kigeni Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus
Mar 16, 2019 01:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, kinyume na matakwa ya Marekani, magaidi wote wa nchi za kigeni walioko Syria wanapaswa kukabidhiwa kwa serikali ya Damascus.
-
Unicef: Mwaka 2018 umeshuhudia mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto wa Syria
Mar 12, 2019 12:45Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, mwaka 2018 ndio uliokuwa na mauaji ya idadi kubwa zaidi ya watoto nchini Syria.
-
Jumapili tarehe 10, Machi, 2019
Mar 09, 2019 21:45Leo ni Jumapili tarehe 3 Rajab 1440 Hijria, sawa na tarehe 10 Machi, 2019 Miladia.
-
Syria: Hatutosita kukabiliana na ukaliwaji mabavu wa milima yetu ya Golan
Mar 06, 2019 10:42Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Mekdad amesisitiza kwamba, serikali ya Damascus haitosita kukabiliana na njama za utawala haramu wa Israel zenye lengo la kuendelea kuikalia kwa mabavu milima ya Golan.
-
Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi
Mar 02, 2019 22:56Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.
-
Rouhani: Iran itasaidia kuijenga upya Syria na kuirejeshea utulivu
Feb 26, 2019 04:19Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushiriki katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.