Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Jumatatu, tarehe 25 Februari, 2019

    Jumatatu, tarehe 25 Februari, 2019

    Feb 25, 2019 00:47

    Leo ni Jumatatu tarehe 19 Jumadithani 1440 Hijria sawa na 25 Februari 2019.

  • UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili wakimbizi wa Syria

    UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili wakimbizi wa Syria

    Feb 22, 2019 13:16

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hali ya kutisha waliyonayo wakimbizi walioukimbia mji wa Hajin huko mashariki mwa Syria kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Nchi za Ulaya zalikataa ombi la Marekani la kuzitaka zibakie Syria

    Nchi za Ulaya zalikataa ombi la Marekani la kuzitaka zibakie Syria

    Feb 21, 2019 21:42

    Nchi za Ulaya zimelikataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuzitaka zipeleke vikosi vya majeshi yao nchini Syria na kujaza nafasi itakayoachwa wazi na vikosi vya jeshi la Marekani.

  • Syria: Tutarejesha udhibiti wa milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Israel

    Syria: Tutarejesha udhibiti wa milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na Israel

    Feb 21, 2019 04:27

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Mekdad amesema kuwa kukombolewa na kudhibitiwa upya milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni ni haki ya kisheria ya serikali na taifa la Syria.

  • Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa jeshi la Syria

    Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa jeshi la Syria

    Feb 21, 2019 04:11

    Idadi kubwa ya wachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa jeshi la serikali ya Syria kutokana na kukaribia kuibuka mapigano makali kati ya magaidi hao na wapiganaji wa Kikurdi wanaoitwa 'Syrian Democratic Forces' katika eneo la Al-Baghuz, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Uhispania yapinga kutumwa nchini Syria wanajeshi wa muungano wa Nato

    Uhispania yapinga kutumwa nchini Syria wanajeshi wa muungano wa Nato

    Feb 17, 2019 23:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amepinga ombi la Marekani kwa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kwa ajili ya kutumwa wanajeshi wa nchi hizo huko Syria.

  • Kamanda wa jeshi la Marekani akiri kwamba nchi hiyo imeshindwa huko Syria

    Kamanda wa jeshi la Marekani akiri kwamba nchi hiyo imeshindwa huko Syria

    Feb 15, 2019 21:56

    Kamanda wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani amekiri kwamba uingiliaji kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Syria haukuwa na mafanikio.

  • BBC yakiri kuwa shambulio la silaha za kemikali Douma, Syria lilikuwa bandia

    BBC yakiri kuwa shambulio la silaha za kemikali Douma, Syria lilikuwa bandia

    Feb 15, 2019 04:05

    Mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la BBC la utawala wa kifalme wa Uingereza amekiri kuwa shambulio la kemikali lililodaiwa kufanywa katika mji wa Douma nchini Syria mwaka 2018 lilikuwa bandia na hata London ilikuwa inatambua vyema kwamba hakuna gesi yoyote ya sumu iliyotumika kwenye mji huo.

  • Kutimuliwa askari vamizi wa Marekani ndilo hitajio kuu la wananchi wa Iraq na Syria

    Kutimuliwa askari vamizi wa Marekani ndilo hitajio kuu la wananchi wa Iraq na Syria

    Feb 10, 2019 23:19

    Mahdi Taqee, Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, hadi sasa jumla ya wabunge 70 wa nchi hiyo wameshatia saini muswada wa kisheria wa kushinikiza kutimuliwa nchini humo askari wa kigeni hususan wa Marekani.

  • UN yatiwa wasiwasi na taathira mbaya za vita kwa watoto wa Syria

    UN yatiwa wasiwasi na taathira mbaya za vita kwa watoto wa Syria

    Feb 09, 2019 00:15

    Kamati ya Haki za Watoto ya Umoja wa Mataifa imeeleza wasiwasi wake kuhusu taathira mbaya za vita vya zaidi ya miaka saba na mashambulizi ya kigaidi kwa maisha ya watoto wa syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS