Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Maandalizi ya kutekelezwa na magaidi shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun, Syria

    Maandalizi ya kutekelezwa na magaidi shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun, Syria

    Feb 07, 2019 07:46

    Jumanne iliyopita, duru za habari nchini Syria ziliripoti kuwepo maandalizi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Tahriru sh-Sham (Jab'hatu Nusrah) kwa ajili ya kutekeleza shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun, kusini mwa mkoa wa Idlib nchini Syria.

  • Syria mwaka 2018 iliuza bidhaa zake katika nchi 90 duniani

    Syria mwaka 2018 iliuza bidhaa zake katika nchi 90 duniani

    Feb 06, 2019 23:26

    Muungano wa Jumuiya za Syria zinazouza bidhaa nje ya nchi umetangaza kuwa, mwaka uliopita wa 2018 nchi hiyo iliuza bidhaa kwa nchi 90 duniani zikiwemo zile ambazo zilikuwa zimeiwekea vikwazo Damascus.

  • Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Onyo la Iran kwa chokochoko za Israel dhidi ya Syria

    Feb 06, 2019 03:34

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuendelea kuishambulia Syria.

  • Rais Assad: Jitihada za pamoja za Iran na Syria zimewatia kiwewe maadui

    Rais Assad: Jitihada za pamoja za Iran na Syria zimewatia kiwewe maadui

    Jan 29, 2019 21:41

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitizia umuhimu wa kuendelea kushirikiana nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuzima njama za maadui wa mataifa haya mawili.

  • Jahangiri: Kama Iran isingelizisaidia Iraq na Syria, sasa hivi magaidi wangelikuwa na dola lao katika eneo hili

    Jahangiri: Kama Iran isingelizisaidia Iraq na Syria, sasa hivi magaidi wangelikuwa na dola lao katika eneo hili

    Jan 27, 2019 12:03

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kama Tehran isingelizisaidia Baghdad na Damascus katika mapambano yao dhidi ya magenge ya kigaidi, basi sasa hivi magenge hayo yangelikuwa yanazitawala nchi hizo.

  • Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia  Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani

    Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani

    Jan 27, 2019 04:38

    Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.

  • Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League

    Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League

    Jan 27, 2019 04:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Khemaies Jhinaoui ametoa mwito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuirejeshea Syria kiti chake cha uwanachama katika jumuiya hiyo na kusisitiza kwamba "mahali pa kimaumbile" pa nchi hiyo ni katika jumuiya hiyo yenye nchi 22 wanachama.

  • Mamia ya wanajeshi wa Marekani na malori 250 yenye silaha waingia Syria

    Mamia ya wanajeshi wa Marekani na malori 250 yenye silaha waingia Syria

    Jan 26, 2019 01:03

    Katika hali ambayo Washington inadai kuwa ina mpango wa kuondoa wanajeshi wake huko Syria; kundi moja linalofahamika kama Kundi la Kutetea Haki za Binadamu la Syria limeripoti habari kuhusu kuwasili nchini humo mamia ya wanajeshi wa Marekani wakiwa na makumi ya malori yenye silaha.

  • Syria yaalikwa kushiriki kikao cha mabunge ya nchi za Kiarabu

    Syria yaalikwa kushiriki kikao cha mabunge ya nchi za Kiarabu

    Jan 25, 2019 23:27

    Duru za Jordan zinaarifu kuwa Atef Tarawneh, spika wa bunge la Jordan amemwalika spika mwenzake wa Syria Hammouda Sabbagh, kushiriki katika kongamano la 29 la mabunge ya nchi za Kiarabu ambalo limepangwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Machi huko Amman mji mkuu wa Jordan.

  • Jenerali Mzayuni akiri uwezo wa kijeshi wa Syria licha ya vita vya ndani vya miaka mingi

    Jenerali Mzayuni akiri uwezo wa kijeshi wa Syria licha ya vita vya ndani vya miaka mingi

    Jan 24, 2019 12:26

    Jenerali mmoja mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amewataka viongozi wa utawala huo wasidharau tahadhari iliyotolewa na Syria kwamba kama Israel itaendelea kufanya mashambulizi nchini humo, basi Syria nayo itajibu kwa kuushambulia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS