-
Jordan yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria
Jan 09, 2019 13:29Jordan imeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uheshimu sheria za kimataifa na uondoke haraka iwezekanavyo katika Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Kuanza kazi mjumbe maalumu mpya wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria
Jan 09, 2019 04:05Geir Pedersen, mwanadiplomasia mkongwe wa Norway ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuchukua mikoba ya Staffan de Mistura aliyekuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria, Jumatatu ya juzi alianza rasmi kazi yake hiyo.
-
Malalamiko ya Syria kutokana na kuendelea jinai za muungano vamizi wa Marekani
Jan 07, 2019 04:50Kwa mara nyingine Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imewatumia barua mbili tofauti Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo, ikilalamikia jinai zinazofanywa na muungano vamizi unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani huko katika jimbo la Deir ez-Zor nchini humo.
-
Makundi yanayoungwa mkono na Saudia yakasirishwa na nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano tena na Syria
Jan 07, 2019 04:17Makundi ya wanamgambo nchini Syria yanayoungwa na mkono na Saudi Arabia yamekasirishwa na hatua ya mataifa ya Kiarabu ya kuanzisha tena uhusiano wao na serikali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar al-Assad.
-
Magaidi Syria wakutwa na silaha za Marekani na utawala haramu wa Israel
Jan 07, 2019 00:56Wanajeshi wa serikali ya Syria wamenasa silaha zilizotegenezwa Marekani na katika utawala haramu wa Israel ambazo zilikuwa zinatumiwa na magaidi wakufurishaji katika mkoa wa Dara'a kusini maghairbi mwa nchi hiyo.
-
Turathi za kihistoria zilizoibiwa Iraq na Syria zakutwa kwenye makumbusho ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 06, 2019 00:23Turathi na athari kadhaa za kihistoria za Iraq na Syria zilizoibiwa wakati wa uvamizi na machafuko yaliyotokea miaka ya karibuni katika nchi hizo zimekutwa kwenye makumbusho ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Kulegeza msimamo Trump kuhusiana na Syria
Jan 03, 2019 22:55Baada ya kupita miaka saba tangu Syria ikumbwe na mgogoro uliosababishwa na uingiliaji wa Marekani pamoja na waitifaki wake wa Ulaya wa Kiarabu katika masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuyaunga mkono makundi ya kigaidi ili kuipindua serikali halali ya nchi hiyo; hivi sasa mlingano wa nguvu umebadilika kikamilifu kwa maslahi ya serikali ya Syria na waitifaki wake.
-
Trump akiri wameshindwa Syria, asema, Iran ina satua ya kufanya chochote nchini humo
Jan 03, 2019 04:19Rais wa Marekani, Donald Trump amekiri kushindwa njama za Marekani na vibaraka wake nchini Syria na kusema kuwa, Iran ina ushawishi wa kufanya wanalopenda katika nchi hiyo.
-
IFJ: Waandishi habari karibu mia moja wameuawa mwaka 2018 duniani
Jan 01, 2019 23:20Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari (IFJ) limetangaza kuwa, waandishi habari 94 waliuawa mwaka uliomalizika wa 2018 katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria
Jan 01, 2019 04:44Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh mashariki mwa Syria na kuangamiza makanda wasiopungua 30 wa genge hilo la ukifurishaji.