-
Magaidi elfu tano (5000) walazimika kuondoka katika viunga vya mji mkuu wa Syria
Apr 18, 2018 22:33Hatimaye, genge la kigaidi la Jeish al Islam limetangaza kuwa limekubali kuondoa wanamgambo wake 5,000 waliko katika eneo la al Dhamir katika viunga vya mji mkuu wa Syria Damascus na kuwapelekea Jarabulus mkoani Halab (Aleppo) pamoja na familia zao.
-
Rouhani: Iran na Uturuki zitaendelea kushirikiana ili kuzima taharuki Syria
Apr 18, 2018 03:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya hivi karibuni ya kijeshi yaliyofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria yameacha mfano wenye sura ya kutisha kwenye uhusiano wa kimataifa, na kusisitiza kwamba Iran na Uturuki zitaendelea kuwa na ushirikiano wa karibu kwa lengo la kuzuia kushtadi taharuki katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wayemen waandamana kuiunga mkono serikali ya Syria
Apr 17, 2018 23:44Mamia ya Wayemen wamefanya maandamano na kukusanyika mbele ya ubalozi wa Syria na Chuo Kikuu cha Sana'a, wakionyesha mshikamano wao na serikali halali ya Syria, chini ya uongozi wa Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Jeremy Corbyn: Ishambulieni Saudia pia kwa kuwa imetumia silaha za sumu Yemen
Apr 17, 2018 23:32Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza ametaka kufanywa mashambulizi ya anga kuilenga Saudia kutokana na nchi hiyo ya Kiarabu kutumia mabomu yaliyopigwa marufuku na Umoja wa Mataifa dhidi ya raia wasio na hatia nchini Yemen.
-
Russia: Madai ya shambulizi la silaha za kemikali Syria yaliratibiwa na majasusi wa Uingereza
Apr 17, 2018 09:54Mwakilishi wa Russia katika Shirika Linalopiga Marufuku Matumizi ya Silaha za Kemikali (OPCW) amesema madai ya kutumiwa silaha za kemikali katika eneo la Douma nchini Syria na yaliyotumika kama kisingizio cha kuishambulia nchi hiyo ya Kiarabu, ni operesheni ya mchezo mchafu iliyopangwa na kutekelezwa na asasi za kijasusi za Uingereza.
-
Syria: Hivi sasa tuna uwezo mkubwa wa kutungua makombora ya adui
Apr 17, 2018 09:51Mshauri wa Rais Bashar al-Assad wa Syria, Bouthaina Shaaban amesema kuwa, jeshi la Syria limethibitisha uwezo mkubwa wa makombora yake hasa baada ya kukabiliana vilivyo na shambulizi la hivi karibuni la Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya nchi hiyo.
-
Jeshi la Syria latungua makombora 9 yaliyolenga viwanja vya ndege vya kijeshi
Apr 16, 2018 23:18Jeshi la Syria mapema leo asubuhi limetungua makombora tisa ambayo yalikuwa yamelenga viwanja vya ndege vya kijeshi vya Shayrat mkoani Homs na Al Dumayr katika viunga vya mji mkuu Damascus.
-
Jumanne tarehe 17 Aprili mwaka 2018
Apr 16, 2018 22:51Leo ni Jumanne tarehe 30 Rajab 1439 Hijria sawa na 17 Aprili 2018.
-
Jebeli: Hujuma ya Marekani na Waitifaki wake Syria haiathiri utendaji wa muqawama
Apr 15, 2018 09:40Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hujuma ya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Syria haijawa na taathira hasi katika utendaji wa jeshi na taifa la Syria pamoja na harakati ya mapambano au muqawama."
-
Maandamano yafanyika Marekani chini ya nara " Hatutaki vita Syria"
Apr 15, 2018 09:32Makumi ya wananchi wa Marekani wanaopinga vita wamefanya maandamano katika miji mbalimbli ya nchi hiyo kulalamikia kushambuliwa kijeshi Syria. Wanaharakati hao wanaopinga vita wameandamana baada ya kutekelezwa mashambulizi ya makombora dhidi ya Syria chini ya uongozi wa Marekani.