-
Ulegezaji kamba katika misimamo ya Taliban, kutoka maneno hadi vitendo
Dec 21, 2021 02:42Msimamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan katika serikali ya mpito ya Taliban amesema kuwa kushirikishwa Waafghani wote katika muundo wa serikali ya nchi hiyo ni jambo la lazima.
-
Lengo la mkutano wa Islamabad ni kuisaidia nchi ya Afghanistan
Dec 17, 2021 11:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesema kuwa, lengo la kikao cha Islamabad ni mkusanyiko wa kimataifa kwa ajili ya kuisaidia Afghanistan.
-
Mgogoro wa kibinadamu ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Afghanistan
Dec 15, 2021 02:28Afisa mmoja wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) amesema kuwa, mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan ni wa aina yake na haujawahi kushuhudiwa.
-
Umoja wa Ulaya: Hatutaitambua serikali ya Taliban Afghanistan
Nov 28, 2021 08:02Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa umoja huo hautaitambua serikali ya kundi la Taliban inayotawala nchini Afghanistan.
-
Madai ya Taliban ya kuwepo serikali jumuishi nchini Afghanistan
Nov 15, 2021 02:46Kaimu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya muda ya Taliban amekataa wito wa jamii ya kimataifa unaosisitizia ulazima wa kuundwa serikali jumuishi nchini Afghanistan na kudai kwamba, serikali ya Taliban ni jumuishi na ndani yake wamo wawakilishi wa jamii zote za nchi hiyo.
-
Ukulima wa mipopi umeshamiri Afghanistan kutokana na vikwazo ilivyowekewa Taliban
Nov 10, 2021 02:40Ukulima wa mipopi inayozalisha mihadarati ya kasumba umeongezeka nchini Afghanistan kutokana na vikwazo lilivyowekewa kundi la Taliban linalotawala nchi hiyo kwa sasa.
-
Taliban yatoa indhari juu ya hatari ya kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani na NATO katika eneo
Oct 30, 2021 07:23Taliban imetahadharisha kuwa, kuanzishwa vituo vya kijeshi vya Marekani na vya shirika la kijeshi la Magharibi NATO katika nchi jirani ni hatari kwa mataifa yote.
-
DAESH lakiri kuhusika na hujuma ya kuripua kinu cha umeme mjini Kabul, Afghanistan
Oct 23, 2021 07:48Kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) limekiri kuwa ndilo lililohusika na shambulio la kinu kikuu kinachozalisha umeme katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan na juhudi za kurejesha uthabiti nchini humo
Oct 22, 2021 13:06Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan kilifanyika siku ya Jumatano ya tarehe 20 Oktoba kwa uwenyekiti wa Russia katika mji mkuu huo wa nchi hiyo.
-
Mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan ajiuzulu
Oct 19, 2021 07:41Zalmay Khalilzad, anayetazamwa kama nembo na kielelezo kikubwa zaidi cha kufeli kidiplomasia Marekani nchini Afghanistan amejiuzulu wadhifa wake wa mjumbe maalumu wa Washington katika masuala ya nchi hiyo.