-
Onyo la Putin kuhusu kuhamishiwa ugaidi nchini Afghanistan
Oct 15, 2021 09:16Rais Vladimir Putin wa Russia amesema magaidi wanahamishwa kutoka Iraq na Syria na kupelekwa Afghanistan jambo ambalo amesisitiza kuwa linahatarisha usalama wa nchi za Umoja wa Sovieti ya zamani.
-
Ombi la Taliban kwa Russia kwa ajili ya kushiriki katika ujenzi mpya wa Afghanistan
Oct 14, 2021 08:51Kundi la wanamgambo wa Taliban linaloongoza huko Afghanistan limetangaza kuwa linafanya mashauriano na Russia ili kupanua ushirikianao na kusaidiwa katika kuijenga upya nchi hiyo.
-
Taliban yazionya Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya kuidhoofisha serikali yake
Oct 13, 2021 07:39Msimamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amezitahadharisha tawala za Magharibi juu ya hatua yoyote ya kuudhoofisha utawala mpya ulioundwa na kundi hilo.
-
Taliban yakataa kushirikiana na Marekani katika mapambano dhidi ya Daesh
Oct 12, 2021 02:30Kundi la Taliban limetangaza kuwa lina uwezo wa kutosha wa kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na kwa msingi huo halitashirikiana na Marekani katika uwanja huo.
-
Imethibitishwa kuwa rais mtoro wa Afghanistan aliiba mamilioni ya dola alipokimbilia nje ya nchi
Oct 07, 2021 04:35Msemaji wa kundi la Taliban Zabihullah Mujahid amethibitisha kuwa Muhammad Ashraf Ghani, rais mtoro wa Afghanistan aliiba na kuondoka na mamilioni ya dola wakati alipokimbilia nje ya nchi.
-
Siasa za kibeberu za Marekani, msababishaji mkuu wa matatizo yote ya Afghanistan
Oct 07, 2021 04:35Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa matatizo yote yaliyoko Afghanistan hivi sasa yamesababishwa na siasa za kibeberu za Marekani
-
UN yakiri kuwa haina uwezo wa kutatua mgogoro wa Afghanistan
Sep 16, 2021 12:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, pembenekezo lolote la kudai kuwa umoja huo unaweza kutatua matatizo ya Afghanistan ni ndoto tu ambazo haziwezi kuaguka.
-
Wanawake nchini Afghanistan waunga mkono Hijabu na Taliban
Sep 10, 2021 12:42Mamia ya wanawake nchini Afghanistan wamekusanyika katika mkoa wa Kunduz kaskazini mwa nchi hiyo, ambapo sambamba na kutangaza uungaji mkono wao kwa Taliban wamesisitizia pia uvaaji wa vazi la stara la Kiislamu la Hijabu.
-
Ombi la kiongozi wa Taliban kwa wananchi wa Afghanistan
Sep 10, 2021 08:46Hibatullah Akhundzada kiongozi mkuu wa kundi la wanamgambo wa Taliban amewataka wananchi wa Afghanistan kuiunga mkono serikali ya mpito ya kundi hilo. Amesema, Afghanistan ni nyumba ya taifa lote la Afghanistan na kwamba nyumba hiyo ni muhimu katika kuijenga nchi.
-
Kuundwa serikali ya Taliban nchini Afghanistan
Sep 09, 2021 09:09Serikali ya mpito iliyoundwa na wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan imeanza rasmi kazi zake.