Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Familia ya Mohammed Dewji: Bado hatujapata taarifa yoyote mpya yenye matumaini kuhusu MO

    Familia ya Mohammed Dewji: Bado hatujapata taarifa yoyote mpya yenye matumaini kuhusu MO

    Oct 18, 2018 04:50

    Familia ya mfanyabiashara mkubwa wa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji imesema kuwa, hadi sasa haijapokea taarifa yoyote yenye kutia matumaini ya kupatikana kwa mtoto wao Mohammed Dewji aliyetekwa nyara siku saba silizopita.

  • Serikali ya Tanzania: Hatutoruhusu wachunguzi kutoka nje kuja kuchunguza tukio la kutekwa nyara Mo Dewji

    Serikali ya Tanzania: Hatutoruhusu wachunguzi kutoka nje kuja kuchunguza tukio la kutekwa nyara Mo Dewji

    Oct 17, 2018 01:13

    Naibu Waziri wa Mambo  ya Ndani nchini Tanzania,  Hamad Masauni amesema kuwa, serikali haiwezi kuruhusu vyombo vya ulinzi na usalama kutoka nje ya nchi kuja kuchunguza tukio la kutekwa nyara mfanyabiashara mkubwa wa nchi hiyo na Afrika Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’.

  • Mbunge Lema: Ili serikali ya Tanzania ijinasue na lawama, iruhusu vyombo vya nje vichunguze kutekwa kwa Mo Dewji

    Mbunge Lema: Ili serikali ya Tanzania ijinasue na lawama, iruhusu vyombo vya nje vichunguze kutekwa kwa Mo Dewji

    Oct 16, 2018 12:27

    Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, na mbunge wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, Godbless Lema amesema kuwa njia pekee itakayoiepusha serikali ya Dar es Salaam na lawama kuhusiana na tukio la kutekwa nyara mfanyabiashara mkubwa wa nchi hiyo na Afrika, Mohammed Dewji (MO), ni kuviruhusu vyombo vya nje vifanye uchunguzi wa tukio hilo.

  • Watu 75 watekwa nyara Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu

    Watu 75 watekwa nyara Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu

    Oct 13, 2018 12:34

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa, watu wapatano 75 wametekwa nyara katika nyakati na maeneo tofauti nchini humo kwenye kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

  • Licha ya juhudi kubwa za polisi Tanzania, mfanyabiashara mkubwa wa nchi hiyo na Afrika MO Dewji, bado hajapatikana

    Licha ya juhudi kubwa za polisi Tanzania, mfanyabiashara mkubwa wa nchi hiyo na Afrika MO Dewji, bado hajapatikana

    Oct 13, 2018 04:46

    Jeshi la polisi nchini Tanzania limeendelea kuwasaka watu waliomteka nyara mfanyabiashara mkubwa wa nchi hiyo na Afrika, Mohammed Dewji, huku juhudi hizo zikiwa bado hazijazaa matunda.

  • Mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji, atekwa nyara na wazungu jijini Dar es Salaam

    Mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji, atekwa nyara na wazungu jijini Dar es Salaam

    Oct 11, 2018 09:16

    Mfanyabiashara mkubwa wa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji maarufu kwa jina la ‘MO’, ametekwa nyara asubuhi ya leo na kupelekwa kusikojulikana.

  • Waziri wa Nchi Tanzania: Rais Magufuli hakukusudia kupiga marufuku uzazi wa mpango

    Waziri wa Nchi Tanzania: Rais Magufuli hakukusudia kupiga marufuku uzazi wa mpango

    Oct 09, 2018 13:03

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Seleman Jafo amesema kuwa, wataalamu wa masuala ya afya wa nchi hiyo walitakiwa kuwafafanulia wananchi kauli ya Rais John Pombe Magufuli pale alipotaka Watanzania wasizuiwe kuzaa watoto.

  • Magufuli aamuru kuundwa kivuko kingine Ukerewe baada ya kile cha MV Nyerere kuzama

    Magufuli aamuru kuundwa kivuko kingine Ukerewe baada ya kile cha MV Nyerere kuzama

    Sep 24, 2018 10:53

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ameamuru kuundwa kivuko kipya katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, baada ya kutokea ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere na kusababisha maafa.

  • Manusura wa ajali ya kivuko Tanzania: Kapteni alishughulishwa sana na simu na kusababisha ajali

    Manusura wa ajali ya kivuko Tanzania: Kapteni alishughulishwa sana na simu na kusababisha ajali

    Sep 22, 2018 13:17

    Mchori Bulola, mmoja wa watu walionusurika kwenye ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere mkoani Mwanza nchini Tanzania amesema kuwa, chanzo cha ajali hiyo kilikuwa mzigo mkubwa ambao kivuko hicho kilikuwa kimeubeba.

  • Idadi ya waliofariki katika ajali ya kivuko Tanzania yapindukia 150

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya kivuko Tanzania yapindukia 150

    Sep 22, 2018 04:16

    Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kwenye ajali ya Ziwa Victoria nchini Tanzania imeongeza na kupindukia 150.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS