-
Iran yatuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko, Mwanza
Sep 21, 2018 09:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa taifa na serikali ya Tanzania kufuatia ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Vctoria huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu 94 wafariki dunia katika ajali mbaya ya kuzama kwa kivuko Mwanza, Tanzania
Sep 20, 2018 12:24Watu 94 wamepoteza maisha katika ajali ya kuzama majini kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukara katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Tanzania.
-
Wafuasi wa Ahlul-Bayti duniani wakumbuka mauaji ya Imam Hussein (as)
Sep 20, 2018 11:27Waislamu wapenzi wa familia ya Mtume Muhammad (saw) katika nchi mbalimbali za dunia leo wameshiriki maombolezo ya siku ya Ashura, ambayo aliuawa shahidi ndani yake mjukuu wa Mtume, yaani al-Imam Hussein bin Ali (as).
-
SAUTI, Viongozi wa imani tofauti Tanzania washiriki kumbukumbu za Imamu Hussein (as) na kumtaja kuwa nembo ya ubinaadamu
Sep 20, 2018 11:22Viongozi wa dini mbalimbali nchini Tanzania wamejumuika pamoja katika kuenzi kumbukumbu ya siku aliyouwawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) Imam Hussein (as).
-
Tanzania kupoteza wawekezaji baada ya kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi
Sep 14, 2018 02:45Wataalamu wanasema kuwa, uamuzi uliochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kurekebisha sheria ya Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi PPP na kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi utawatia hofu wawekezaji, na kupelekea uhusiano wa nchi hiyo na mashirika ya fedha duniani kuwa mgumu zaidi.
-
Serikali ya Tanzania yaamuru watoto ombaomba kukamatwa na kushtakiwa mahakamani
Sep 12, 2018 09:37Serikali ya Tanzania imetoa agizo la kukamatwa na kufikishwa mahakamani, watoto wa mitaani, maarufu kama ombaomba, kwa kutumia sharia inayozuia utoro mashuleni.
-
Ulimwengu wa Michezo, Sep 10
Sep 09, 2018 23:38Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa
-
Watu 28 waaga dunia na kujeruhiwa katika ajali ya barabarani Tanzania
Sep 08, 2018 22:17Kwa akali watu 15 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika mkoa wa Mbeya, kusini mwa Tanzania.
-
Upinzani nchini Tanzania wapinga wakurugenzi wa Tume ya uchaguzi NEC kuwa wanachama wa CCM
Sep 04, 2018 09:21Wabunge wa upinzani nchini Tanzania wamelalamikia hatua ya wajumbe na wasimamizi wa uchaguzi kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) kuwa wanachama wa chama tawala CCM.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, akemea ongezeko la utumiaji nguvu wa mgambo na walimu nchini humo
Sep 03, 2018 09:34Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Tanzania, Kangi Lugola amelaani vitendo vya utumiaji nguvu vya mgambo wa nchi hiyo hususan wa jiji la Dar es salaam na kuvitaja vitendo hivyo kuwa vya kihuni, kishenzi na kinyama.