Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • LHRC: Ubakaji watoto umeongezeka Tanzania

    LHRC: Ubakaji watoto umeongezeka Tanzania

    Sep 01, 2018 09:35

    Shirika moja la haki za binadamu nchini Tanzania limesema kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la vitendo vya ubakaji nchini humo.

  • SAUTI, Balozi wa Iran Tanzania: Iddi ya Ghadir ni kwa ajili ya Waislamu wote si kwa Waislamu wa Shia peke yao

    SAUTI, Balozi wa Iran Tanzania: Iddi ya Ghadir ni kwa ajili ya Waislamu wote si kwa Waislamu wa Shia peke yao

    Aug 30, 2018 12:30

    Balozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, amesema kuwa, Sikukuu ya Ghadir sio kwa ajili ya Waislamu wa Shia pekee, bali Waislamu wa madhehebu yote duniani.

  • Mbowe: Viongozi wa Chadema Tanzania, tunatengenezewa kesi ili tufungwe

    Mbowe: Viongozi wa Chadema Tanzania, tunatengenezewa kesi ili tufungwe

    Aug 24, 2018 00:13

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Freeman Mbowe, amesema kuwa, viongozi wa chama hicho wanatengenezewa kesi ili wafungwe jela na kusisitiza kuwa, pamoja na hayo wao hawaogopi kwenda jela.

  • Tanzania yakabiliwa na hatari kubwa ya mlipuko wa homa ya Ebola

    Tanzania yakabiliwa na hatari kubwa ya mlipuko wa homa ya Ebola

    Aug 22, 2018 03:09

    Waziri wa afya wa Tanzania Bibi Ummy Mwalimu amesema, Tanzania inakabiliwa na hatari kubwa ya kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, ambao umesababisha vifo vya watu 50 kati ya wagonjwa 91 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC

  • SAUTI, Sheikh Jalala: Nchi zilizowakoloni Waafrika zilipe fidia kwa nchi za bara hilo, sambamba na kutupiliwa mbali mitaala yao

    SAUTI, Sheikh Jalala: Nchi zilizowakoloni Waafrika zilipe fidia kwa nchi za bara hilo, sambamba na kutupiliwa mbali mitaala yao

    Aug 17, 2018 11:43

    Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) cha jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala, ameonya tabia ya nchi za Kiafrika kuendelea kukumbatia mitaala na maelekezo ya nchi za kikoloni na kibeberu kwa kuwa mabeberu hao hawana nia njema na bara la Afrika.

  • SAUTI, Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania: Serikali imeamua kuyaweka mashirika yote ya umma chini ya Mwanasheria Mkuu

    SAUTI, Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania: Serikali imeamua kuyaweka mashirika yote ya umma chini ya Mwanasheria Mkuu

    Aug 16, 2018 11:07

    Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi amesema, serikali imeamua kuyaweka mashirika yote ya umma kuanzia Tanesco, mifuko ya hifadhi ya jamii na bandari chini ya usimamizi wa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa lengo la kuzuia mashirika hayo kuendelea kupata hasara.

  • Serikali ya Tanzania yaamuru msako wa kuwakamata wahamiaji

    Serikali ya Tanzania yaamuru msako wa kuwakamata wahamiaji

    Aug 07, 2018 03:17

    Serikali ya Tanzania kupitia mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emmanuel Maganga imeitaka idara ya uhamiaji kuanza msako mkali kwa ajili ya kuwakamata wahamiaji haramu waliojificha katika mashamba na majumbani mwa watu.

  • SAUTI, Sheikh Hemedi Jalala, awataka watu wenye imani tofauti kuvumiliana, kuelewana na kulinda amani

    SAUTI, Sheikh Hemedi Jalala, awataka watu wenye imani tofauti kuvumiliana, kuelewana na kulinda amani

    Aug 06, 2018 12:11

    Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala, ametoa mwito kwa watu wa dini tofauti kuishi kwa maelewano, amani na utulivu.

  • SAUTI, Madereva nchini Tanzania, waikosoa polisi kwa kuwanyang'anya leseni zao, wadai hilo haliwezi kuzuia ajali za barabarani

    SAUTI, Madereva nchini Tanzania, waikosoa polisi kwa kuwanyang'anya leseni zao, wadai hilo haliwezi kuzuia ajali za barabarani

    Jul 26, 2018 12:27

    Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani nchini Tanzania, limetangaza kuanzisha operesheni kali ya uhakiki wa leseni za madereva wote nchini huko kuanzia Agosti Mosi mwaka huu.

  • Makamu wa Rais Tanzania: Kuharibu mazingira ni kumkufuru Mungu

    Makamu wa Rais Tanzania: Kuharibu mazingira ni kumkufuru Mungu

    Jul 25, 2018 08:47

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Bi Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuacha kumkufuru Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake kwa kuharibu mazingira ili kwa njia hiyo kuendelea kulinda ikolojia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS