-
SAUTI, Tanzania na Korea Kusini zaimarisha ushirikiano, zaondoa zuio la visa kwa wanadiplomasia na watumishi wa nchi mbili
Jul 22, 2018 11:49Waziri Mkuu wa Korea Kusini, Lee Nak-yeon ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchi Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Jamuhuri ya Muungango wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
-
Wabunge wa Tanzania waunga mkono uamuzi wa Rais Museveni wa kuwapa ulinzi wabunge
Jul 21, 2018 10:43Wabunge kadhaa nchini Tanzania wameupokea kwa mikono miwili uamuzi wa Rais Yoweri Museven wa Uganda wa kuwapa ulinzi wabunge wa nchi hiyo kwa lengo la kuwaepusha na mashambulizi yanayofanywa na watu wasiojulikana.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania: Wafungwa wataanza kujilisha wenyewe
Jul 21, 2018 10:07Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Tanzania, Kangi Lugola, amemtaka Mkuu wa Magereza nchini humo, Kamishna Jenerali Phaustine Martin Kasike kumpelekea mikakati ya kuhakikisha wafungwa wanajilisha kwa kufanya kazi badala ya kulishwa kwa fedha za serikali.
-
China: Nchi za Afrika zijiepushe kuwaingiza madarakani wala rushwa
Jul 17, 2018 14:12Mkuu wa Idara ya Kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti nchini China (CPC), Song Tao, amezishauri serikali za mataifa ya bara la Afrika kuandaa mkakati maalumu ambao kwa mujibu wake utazuia viongozi wala rushwa kuingia madarakani.
-
Amnesty International yamjia juu Rais Magufuli kwa kuwadhalilisha wafungwa wa Tanzania
Jul 17, 2018 03:01Shirikisha la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka wafungwa nchini humo kufanyishwa kazi usiku na mchana na kupigwa mijeledi wakiwa wavivu.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania: Sakata la wahamiaji haramu uhamiaji ijitathimini
Jul 12, 2018 10:26Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Kangi Lugola ameitaka idara ya Uhamiaji kujitathmini kuhusiana na suala la wahamiaji haramu ambao wamekuwa wakiingia nchi hiyo mara kwa mara.
-
SAUTI, Viongozi Chadema Tanzania: Tume ya Uchaguzi isimamie vyema uchaguzi wa Buyugu kuepusha ghasia
Jul 12, 2018 11:27Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia kwa haki uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani katika eneo la Buyugu mkoani Kigoma.
-
SAUTI, Viongozi wa upinzani Tanzania waendelea kuishambulia bajeti ya serikali, waitaja kuwa si rafiki wa Watanzania
Jun 28, 2018 11:19Viongozi wa upinzani nchini Tanzania wameendelea kukosoa bajeti ya serikali yam waka wa fedha 2018-2019 wakidai kuwa bajeti hiyo si rafiki wa wananchi.
-
Polisi ya Tanzania yawatia mbaroni wezi wakubwa wa mitandao ya simu
Jun 27, 2018 09:55Jeshi la polisi maalamu ya Dar es salaam nchini Tanzania limetanza kuwa, linawashikilia watu 15 kwa kujihusisha na wizi kwa njia ya mtandao.
-
Homa ya Chikungunya na Dengue zaripotiwa nchini Tanzania (RIPOTI)
Jun 26, 2018 10:30Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue nchini humo.