-
Watu 14 wafariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya leo Mkuranga, Tanzania
Jun 25, 2018 03:48Watu 14 wameripotiwa kufariki dunia katika ajali mbaya ya gari iliyotokea mapema leo mkoani Pwani nchini Tanzania.
-
LHRC: Kuna njia tatu kuu zitakazofanikisha kupatikana katiba mpya Tanzania
Jun 22, 2018 09:27Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) nchini Tanzania kimetoa mapendekezo matatu ambayo kwa mujibu wake yatasaidia kupatikana katiba mpya nchini humo.
-
SAUTI, Mawaziri wa Nishati wa Rwanda na Tanzania watembelea mradi wa umeme wa Rusumo wahimiza kasi zaidi
Jun 10, 2018 12:38Serikali za Rwanda na Tanzania zimekubaliana kuzidisha ushirikiano katika ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa nchi mbili.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018
Jun 09, 2018 08:29Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Tanzania.
-
RIPOTI MATUKIO YA KIISLAMU, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awataka wanawake kuacha kuvaa nguo fupi na zenye kubana
Jun 08, 2018 11:35Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka wanawake na wasichana wanaovaa nguo fupi na nguo za kubana kuacha tabia hiyo hususan katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
-
Rais wa Tanzania aomboleza ajali mbaya iliyotokea mkoani Kigoma, atoa amri kwa vyombo vya usalama
Jun 06, 2018 10:26Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania sambamba na kutoa salamu za rambirambi kwa familia zilizowapoteza ndugu na jamaa zao katika ajali mbaya iliyotokea eneo la Gungu mkoani Kigoma mjini, amewataka maafisa usalama barabarani kuchukua hatua madhubuti ili kudhibiti ajali za barabarani zinazoweza kuepukika.
-
WHO: Tanzania ipo nafasi ya pili ya hatari kukumbwa na ugonjwa hatari wa Ebola
May 25, 2018 09:13Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaja Tanzania kuwa ipo na nafasi ya pili ya nchi zilizo katika hatari ya kukumbwa na maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola.
-
Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina
May 24, 2018 03:17Mbunge wa Mbeya mjini wa chama cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) Joseph Osmund Mbilinyi maarifa kwa jina la Sugu amesema kuwa, inashangaza kuona hii leo serikali ya Rais John Magufuli inakwenda kinyume na misingi iliyojengwa na Tanzania katika kuwatetea watu wanaokandamizwa duniani, hususan Palestina.
-
Hali ya taharuki yatanda Kongo DR na nchi jirani kufuatia kusambaa ugonjwa hatari wa Ebola
May 18, 2018 03:46Wasi wasi umetanda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na nchi jirani na taifa hilo kutokana na kuripotiwa kusambaa ugonjwa hatari wa Ebola.
-
Tanzania: Hakuna ugonjwa wa Ebola nchini, lakini tunachukua tahadhari
May 11, 2018 03:06Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa, hadi sasa hakuna mtu yeyote nchini aliyegundulika kuwa na viashiria vya ugonjwa wa Ebola, lakini itaendelea kudhibiti na kujikinga na ugonjwa huo.