-
SAUTI, Mbunge Saidi Bungara wa Kilwa Kusini: Serikali ya Tanzania inatunyanyasa Waislamu tumekosa nini?
May 06, 2018 12:32Mbunge wa Kilwa Kusini, wa chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, Selemani Saidi Ally Bungara amehoji kwamba ni kosa gani wamelifanya Waislamu ndani ya nchi hiyo hadi waendelee kukandamizwa kila uchao nchini mwao?
-
Majaliwa: Ma-RC na ma-DC, simamieni bei za bidhaa msimu wa Ramadhani nchini Tanzania
May 05, 2018 00:15Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu waumini wa dini ya Kiislamu akisema kuwa, kuwa bei za bidhaa hazitapanda katika msimu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video
May 01, 2018 13:02Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Iran yalimalizika Jumatano 15 Aprili hii huku kukitolewa wito wa Umoja na kushikamana na Qur'ani Tukufu.
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 30
Apr 30, 2018 01:03Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita......
-
Tanzania yaadhimisha miaka 54 ya muungano, wapinzani waitisha maandamano
Apr 26, 2018 03:29Tanzania leo inaadhimisha miaka 54 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda taifa moja la Tanzania huku baadhi ya wapinzani wakiitisha maandamano ya kuipinga serikali.
-
Polisi Tanzania yaimarisha usalama kuhusu maandamano, nayo Chadema yayakana
Apr 25, 2018 09:52Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeimarisha usalama kila kona ya nchi, kutokana na tetesi za kufanyika maandamano ya kesho tarehe 26 Aprili na ambayo yamekuwa yakihimizwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa ajili ya kupinga serikali ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo.
-
Mafuriko yashtadi Tanzania, watu tisa waripotiwa kufariki dunia huku mvua zikiendelea kunyesha
Apr 16, 2018 09:54Jeshi la polisi nchini Tanzania limetangaza kuwa hadi sasa watu tisa wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam kutokana na mafuriko yanayosababishwa na mvua kali zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti.
-
Bendera ya Palestina yapepea katika kilele cha Mlima Kilimanjaro
Apr 13, 2018 23:25Kikundi cha mabinti na vijana 16 wa Kipalestina kimefanikiwa kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kupeperusha bendera ya Palestina katika mlima huo mrefu zaidi barani Afrika.
-
Zitto Kabwe: Watu wa Kigoma hawashindwi vita, hawatokubali kuonekana sio raia wa Tanzania (sauti)
Apr 13, 2018 03:07Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amelaani vitendo vya kupotezwa watu vinavyoendelea kujiri nchini Tanzania kikiwemo kitendo cha kupotezwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoani humo, Simon Kangue.
-
Waziri Mkuu Tanzania: Ni kweli kuna changamoto za muungano
Apr 11, 2018 00:13Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameelezea kuwepo changamoto katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar.