Homa ya Chikungunya na Dengue zaripotiwa nchini Tanzania (RIPOTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i46354-homa_ya_chikungunya_na_dengue_zaripotiwa_nchini_tanzania_(ripoti)
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue nchini humo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 26, 2018 10:30 UTC

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue nchini humo.

Magonjwa haya mawili yanashabihiana kwani yanaenezwa na aina moja ya mbu.

Mwandishi wetuwa Dar es Salamaa, Ammar Dachi ana maelezo zaidi…