Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Asasi za kiraia Tanzania zataka kuundwa tume ya kuchunguza mauaji

    Asasi za kiraia Tanzania zataka kuundwa tume ya kuchunguza mauaji

    Feb 21, 2018 11:51

    Makundi ya kiraia nchini Tanzania yametoa wito wa kuundwa tume huru ya kuchunguza vifo ambavyo vimekuwa vikitokea nchini humo katika mazingira ya kutatanisha hasa katika siku za hivi karibuni.

  • CCM yatwaa majimbo ya Kinondoni na Siha, askari 6 wakamatwa mauaji ya mwanachuo

    CCM yatwaa majimbo ya Kinondoni na Siha, askari 6 wakamatwa mauaji ya mwanachuo

    Feb 18, 2018 12:15

    Chama cha Mapinduzi (CCM) huko nchini Tanzania kimetangazwa mshindi wa chaguzi ndogo za majimbo ya Siha mkoani Kilimanjaro na Kinondoni jijini Dar es Salaam ambayo kabla ya kujiuzulu wabunge wake yalikuwa mikononi mwa vyama vya upinzani.

  • Uchaguzi mdogo Tanzania wagubikwa na machafuko; CCM yaelekea kushinda

    Uchaguzi mdogo Tanzania wagubikwa na machafuko; CCM yaelekea kushinda

    Feb 17, 2018 13:47

    Polisi nchini Tanzania imethibitisha kuwa mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika vurugu zilizohusiana na uchaguzi mdogo wa bunge uliofanyika leo katika jimbo la Kinondoni lililoko katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.

  • Chaguzi ndogo zenye mchuano mkali zafanyika Tanzania

    Chaguzi ndogo zenye mchuano mkali zafanyika Tanzania

    Feb 17, 2018 05:21

    Habari kutoka nchini Tanzania zinasema kuwa zoezi kupiga kura katika chaguzi ndogo za ubunge na udiwani katika baadhi ya maeneo, Tanzania Bara limeanza rasmi asubuhi ya leo Jumamosi tarehe Februari 17, 2018.

  • Tanzania yamkabidhi kiongozi wa waasi wa Kongo DR kwa serikali ya nchi hiyo

    Tanzania yamkabidhi kiongozi wa waasi wa Kongo DR kwa serikali ya nchi hiyo

    Feb 05, 2018 13:08

    John Tshibangu, Kanali mwasi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyetishia kumuondoa madarakani rais wa nchi hiyo Joseph Kabila amehamishwa kutoka Tanzania na kukabidhiwa kwa serikali ya DRC ambako atashtakiwa kwa kufanya uasi.

  • Jitihada za Kudhibiti Homa ya Chikungunya Kenya na Tanzania

    Jitihada za Kudhibiti Homa ya Chikungunya Kenya na Tanzania

    Jan 20, 2018 03:59

    Serikali Kenya na Tanzania ziko mbioni kudhibiti ugonjwa wa Homa ya Chikungunya ambao huambukizwa na mbu aina ya aedes na hauna tiba mahsusi wala kinga.

  • Sakata la meli zinazobeba mihadarati zikiwa na bendera ya TZ, lamlazimu Rais Magufuli kusitisha usajili wa meli

    Sakata la meli zinazobeba mihadarati zikiwa na bendera ya TZ, lamlazimu Rais Magufuli kusitisha usajili wa meli

    Jan 20, 2018 01:16

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ameagiza kusitishwa mara moja usajili wa meli mpya nchini humo kufuatia kukamatwa dawa za kulevya na bidhaa nyingine zilizopigwa marufuku kimataifa ndani ya meli zinazopeperusha bendera ya Tanzania.

  • Ulimwengu wa Michezo, Jan 15

    Ulimwengu wa Michezo, Jan 15

    Jan 15, 2018 02:46

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti, yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.

  • SAUTI, Wafrika waendelea kulaani matamshi ya Trump, wamtaka ajiangalie kama anafanana na thamani iliyonayo Afrika

    SAUTI, Wafrika waendelea kulaani matamshi ya Trump, wamtaka ajiangalie kama anafanana na thamani iliyonayo Afrika

    Jan 13, 2018 15:19

    Huku dunia ikiendelea kulaani vikalai matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekanmi aliyoyatoa siku ya Alkhamisi iliyopita ambapo aliyashambulia mataifa ya bara hilo na kuyafananisha na shimo la choo, Waafrika wameenonyesha kuchukizwa na kitendo huku wengine wakitaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya rais huyo.

  • Mahakama Tanzania yawatupa jela walionaswa na dhahabu na kutaifisha mali zao

    Mahakama Tanzania yawatupa jela walionaswa na dhahabu na kutaifisha mali zao

    Jan 12, 2018 04:31

    Mahakama ya Dar es Salaam nchini Tanzania imewahukumu wafanyabiashara wawili kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya kiasi cha Shilingi milioni sita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS