-
SAUTI, Ziara ya Edward Lowassa, kada wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA katika ikulu ya rais
Jan 11, 2018 08:32Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.
-
Lowassa ampongeza Rais Magufuli wa Tanzania, asema amefanya kazi nzuri
Jan 09, 2018 12:20Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.
-
Uozo bandarini Tanzania wamfanya Rais Magufuli afanye mabadiliko mapya ya uongozi
Jan 08, 2018 12:50Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametengua uteuzi wa Kamishna wa Madini Mhandisi Benjamin Mchwampaka na kumteua Profesa Shukrani Manya, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuwa Kamishna wa Madini nchini humo.
-
UN kuchunguza mauaji ya askari 15 wa Tanzania nchini Kongo DR
Jan 06, 2018 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema taasisi hiyo ya kimataifa itachunguza mauaji ya wanajeshi 15 wa kulinda amani raia wa Tanzania waliouawa mapema mwezi uliopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia
Jan 05, 2018 14:52Mwanasheria Mkuu wa chama cha CHADEMA cha nchini Tanzania amesema kuwa anaamini serikali ya Tanzania ilikuwa inajua vyema kuhusu shambulio dhidi yake. Amesema hayo leo Ijumaa mbele ya waandishi wa habari nchini Kenya akiwa katika maandalizi ya kurejea Tanzania kesho Jumamosi. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii ya mwandishi wa Radio Tehran.
-
Wanasheria nchini Tanzania kuipandisha kizimbani serikali kwa kupiga marufuku maandamano
Jan 04, 2018 04:19Jukwaa la Katiba nchini Tanzania (Jukata) linaloundwa na wanasheria limesema kuwa, litafungua kesi kuishitaki serikali wakati wowote kuanzia sasa kutokana na hatua yake ya kupiga marufuku maandamano ndani ya taifa hilo.
-
SAUTI, Mpango: Uchumi wa Tanzania unazidi kuimarika zaidi ukilinganishwa na nchi wanachama wa EAC
Dec 29, 2017 13:36Tanzania ndio nchi ambayo imeonekana kuwa na kiwango kikubwa cha ukuaji uchumi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo kwa mwaka huu uchumi wake umekuwa kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.
-
Upinzani Tanzania: Kamatakamata dhidi ya wapinzani inatufanya tushindwe kuanika sera zetu
Dec 29, 2017 12:27Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa, kamatakamata dhidi ya viongozi wa upinzani sambamba na kufunguliwa kesi za uchochezi, ni miongoni mwa vikwazo vinavyozuia vyama vinavyounda muungano wa upinzani wa UKAWA kutoweka hadharani mikakati yake ya kufanya siasa mwaka ujao.
-
UN yaimarisha usalama kambi walikouawa walinda amani wa Tanzania huko DRC
Dec 22, 2017 03:49Umoja wa Mataifa umesema kambi ya Semuliki ya Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambayo ilishambuliwa na waasi tarehe 7 mwezi huu na kusababisha vifo vya walinda amani 14 wa Tanzania na wengine 44 kujeruhiwa sasa inaimarishwa.
-
RIPOTI: Tanzania yaitaka UN ichunguze mauaji ya askari wake huko DRC (SAUTI)
Dec 14, 2017 12:56Miili ya wanajeshi 14 wa JWTZ waliouawa Kongo DR yaagwa.