-
Tanzania Haitasitisha Oparesheni za Kulinda amani baada ya askari wake 14 kuuawa DRC
Dec 11, 2017 01:47Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuuawa kwa askari wake 14 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hakutaifanya Tanzania iache kuunga mkono shughuli za ulinzi wa amani.
-
Rais Rouhani aipongeza Tanzania kwa mnasaba wa uhuru wa Tanganyika
Dec 09, 2017 11:51Rais Hassan Rouhani wa Iran amemtumia salamu za pongezi, kheri na fanaka Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika.
-
Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel
Dec 08, 2017 04:24Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania wanakabiliwa na hali mbaya: UNHCR
Dec 01, 2017 12:59Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaishi katikia hali mbaya kwenye kambi za wakimbizi nchini Tanzania kwa sababu ya uhaba wa fedha. hayo yamesemwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
-
Kenya na Tanzania zaelekea katika mzozo wa maji
Nov 30, 2017 13:02Ukanda wa Hifadhi za Taifa za Serengeti nchini Tanzania na Maasai Mara nchini Kenya ambao una mojawapo wa maajabu manane ya dunia yanayovutia watalii unakumbwa na tishio la kimazingira kutokana na nchi hizo mbili kuingia katika mgogoro wa kugombania maji.
-
Bomoabomoa yazikumba ofisi za Tanesco na Wizara ya Maji nchini Tanzania + Sauti
Nov 27, 2017 14:34Zoezi la bomoabomoa katika ofisi za Tanesco na Wizara ya Maji nchini Tanzania zilizopo katika jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi ikiwa ni takribani wiki mbili tu zimepita tangu rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo auagize wakala wa barabara nchini humo Tanroads kufanya zoezi hilo. Taarifa zaidi anazo mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Burundi kuanza leo Arusha, Tanzania
Nov 26, 2017 23:32Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi inaanza leo Jumatatu huko Arusha, kaskazini mwa Tanzania, na itaendelea hadi Disemba 8.
-
UNICEF: Watoto milioni 180 duniani, wakiwamo Watanzania hawana mustakabali mwema
Nov 20, 2017 23:10Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF limesema licha ya hatua zilizopigwa kimataifa, mtoto 1 kati ya 12 duniani wanaishi katika nchi ambazo matarajio yao leo ni mabaya kuliko ya wazazi wao.
-
Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar
Nov 20, 2017 04:22Mbunge mashuhuri katika bunge la Tanzania ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa hatua yake ya kutopigia kura azimio la Umoja wa Mataifa linalotaka serikali ya Myanmar ikomeshe operesheni za kijeshi zinazolenga kukandamiza jamii ya wachache ya Waislamu Warohingya nchini humo.
-
Tanzania: Ni aibu kuomba misaada nje ya nchi, jambo hilo linalidhalilisha taifa
Nov 19, 2017 04:32Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Philip Mpango amesema kuwa, ni aibu kuomba misaada nje ya nchi na kuongeza kwamba, binafsi amechoka kufanya hivyo kwa kuwa kitendo hicho kinalidhalilisha taifa.