Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Miili ya watu 11 waliofariki dunia katika ajali ya ndege Tanzania yapatikana

    Miili ya watu 11 waliofariki dunia katika ajali ya ndege Tanzania yapatikana

    Nov 16, 2017 12:35

    Miili ya abiria 10 na rubani mmoja waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea jana nchini Tanzania imepatikana.

  • SAUTI, Ripoti ya Human Right Watch kuhusu unyanyaswaji wa Watanzania huko Uarabuni yazuiliwa na serikali TZ

    SAUTI, Ripoti ya Human Right Watch kuhusu unyanyaswaji wa Watanzania huko Uarabuni yazuiliwa na serikali TZ

    Nov 14, 2017 15:12

    Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Right Watch, limezuiliwa kutoa ripoti yake kuhusiana na uchunguzi wa hali ya watumishi wa ndani wa Kitanzania katika nchi za Kiarabu hususan Oman, Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudia.

  • Watu 18 wapoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania kuanzia Septemba

    Watu 18 wapoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania kuanzia Septemba

    Nov 12, 2017 04:47

    Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kuwa, jumla ya watu 18 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu.

  • Magufuli na Museveni walaani uamuzi wa ICC kuhusu Burundi

    Magufuli na Museveni walaani uamuzi wa ICC kuhusu Burundi

    Nov 11, 2017 12:24

    Marais wa Tanzania na Uganda wamelaani uamuzi ulitolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), ambayo imemuagiza Mwendesha Mashtaka wake, Fatou Bensouda kuanzisha uchunguzi wa vitendo vya kihalifu dhidi ya binadamu vilivyotokea nchini Burundi.

  • SAUTI, Waziri Mkuu Tanzania: Hakuna haja ya kutumwa wachunguzi wa kigeni kwani vyombo vyetu vinaweza

    SAUTI, Waziri Mkuu Tanzania: Hakuna haja ya kutumwa wachunguzi wa kigeni kwani vyombo vyetu vinaweza

    Nov 09, 2017 11:45

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepinga ombi la upinzani nchini humo la kutaka kuagizwa timu ya wachunguzi wa kigeni ili kufuatilia wahusika wa vitendo vya utekaji nyara na mashambulizi dhidi ya viongozi wa kisiasa hususan wa upinzani.

  • SAUTI, Kampuni ya RAHCO Tanzania, yatakiwa kuwalipa wananchi waliobomolewa nyumba zao Dar

    SAUTI, Kampuni ya RAHCO Tanzania, yatakiwa kuwalipa wananchi waliobomolewa nyumba zao Dar

    Nov 08, 2017 12:56

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania, imetoa maamuzi ya malalamiko ya wakazi 72 wa kata ya Mnyamani, Vingunguti jijini Dar es Salaam kulipwa fidia kufuatia nyumba zao kubomolewa.

  • Kenya yapinga hatua ya Tanzania kupiga mnada zaidi ya Ng’ombe 1,300

    Kenya yapinga hatua ya Tanzania kupiga mnada zaidi ya Ng’ombe 1,300

    Nov 08, 2017 12:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed ameilalamikia serikali ya Tanzania kufuatia hatua ya taifa hilo kuwapiga mnada zaidi ya ng’ombe 1,300 walioingia nchini humo kinyume na sheria.

  • SAUTI, Wanafunzi wa elimu ya juu Dar, Tanzania waweka kambi nje ya majengo ya bodi ya mikopo kuililia serikali

    SAUTI, Wanafunzi wa elimu ya juu Dar, Tanzania waweka kambi nje ya majengo ya bodi ya mikopo kuililia serikali

    Nov 07, 2017 11:58

    Wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania wameendelea kuweka kambi nje ya ofisi za bodi ya mikopo ya elimu ya juu jijini Dar es Salaam.

  • Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha

    Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha

    Oct 28, 2017 08:19

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tanzania ni lango muhimu la kuingilia eneo la mashariki mwa Afrika na kwa kuzingatia kuwa Iran ina nafasi na uwezo mkubwa katika sekta mbalimbali na jambo hilo linaufanya wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili kuwa na umuhimu wa kieneo.

  • Gazeti la Tanzania Daima lililopotosha kuhusu idadi ya wagongwa wa VVU lapigwa kufuli na serikali ya Tanzania

    Gazeti la Tanzania Daima lililopotosha kuhusu idadi ya wagongwa wa VVU lapigwa kufuli na serikali ya Tanzania

    Oct 24, 2017 13:35

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa adhabu kwa gazeti la Tanzania Daima la nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuupotosha umma kuhusiana na idadi ya waathirika wa ugonjwa wa ukimwi ndani ya taifa hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS