Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Zarif: Uchochezi wa kikaumu nchini Syria na Iraq ni hatari kwa eneo na dunia nzima

    Zarif: Uchochezi wa kikaumu nchini Syria na Iraq ni hatari kwa eneo na dunia nzima

    Jan 08, 2018 13:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni jambo la dharura kulindwa umoja na mshikamano wa kitaifa na ardhi nzima za eneo hili na kusisitiza kuwa, chokochoko na uchochezi wa kikaumu na kikabila pamoja na fikra za kujitenga katika nchi za Iraq na Syria ni hatari kwa eneo hili na dunia nzima.

  • Kuanza Mkutano wa Pili wa Usalama wa Tehran kwa kuhudhuriwa na viongozi kutoka nchi 49 duniani

    Kuanza Mkutano wa Pili wa Usalama wa Tehran kwa kuhudhuriwa na viongozi kutoka nchi 49 duniani

    Jan 08, 2018 04:41

    Mji mkuu wa Iran, Tehran leo Jumatatu utakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia unaojulikana kama "Mkutano wa Usalama wa Tehran" kufuatia changamoto mbalimbali zinazolikabili eneo hili la kistratejia.

  • Tehran mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu

    Tehran mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu

    Dec 05, 2017 04:38

    Duru ya 31 ya Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu imeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.

  • Mkutano wa Kimataifa wa Wapenzi wa Ahlul-Baiti AS umeanza leo hapa mjini Tehran + SAUTI

    Mkutano wa Kimataifa wa Wapenzi wa Ahlul-Baiti AS umeanza leo hapa mjini Tehran + SAUTI

    Nov 22, 2017 08:42

    Mkutano wa Kimataifa wa Wapenzi wa Ahlul-Baiti (as) umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra 500 kutoka katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Iran yasisitiza haingilii mambo ya ndani ya nchi nyingine

    Iran yasisitiza haingilii mambo ya ndani ya nchi nyingine

    Nov 13, 2017 12:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Sera ya kimsingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutoingilia kamwe masuala ya ndani ya nchi nyingine."

  • Qassemi: Viongozi wa Saudi Arabia wanafanya njama za kuanzisha adui bandia

    Qassemi: Viongozi wa Saudi Arabia wanafanya njama za kuanzisha adui bandia

    Oct 30, 2017 10:23

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujadiliwa masuala ya pande mbili, kieneo, kimataifa, vita dhidi ya ugaidi na kupanua ushirikiano wa pande mbili ndizo ajenda kuu za kikao cha pande tatu cha viongozi wa Iran, Russia na Azerbaijan.

  • Kikao cha Umoja wa Mabunge ya OIC kufanyika kesho Tehran

    Kikao cha Umoja wa Mabunge ya OIC kufanyika kesho Tehran

    Oct 06, 2017 04:44

    Kikao cha 38 cha Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (PUIC) kitafanyika kesho Jumamosi kwenye makao makuu ya umoja huo hapa Tehran.

  • Wanachuo waandamana Tehran kuunga mkono Waislamu wa Myanmar

    Wanachuo waandamana Tehran kuunga mkono Waislamu wa Myanmar

    Sep 10, 2017 22:48

    Wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu nchini Iran wamefanya maandamano mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Tehran na kuzitaka nchi za Kiislamu na jamii ya kimataifa hasa hasa Umoja wa Mataifa kutoendelea kunyamazia kimya mauaji ya kimbari wanayofanyiwa Waislamu wa Myanmar.

  • Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran

    Sep 01, 2017 10:47

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini amewasili Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jaberi Ansari akutana na mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN katika masuala ya Yemen

    Jaberi Ansari akutana na mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN katika masuala ya Yemen

    Aug 12, 2017 08:49

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika ametakana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS