-
Viongozi wa nchi mbalimbali wawasili Tehran kwa ajili ya sherehe ya kuapishwa Rouhani
Aug 04, 2017 00:19Viongozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali duniani wanaendelea kuwasili nchini Iran kwa ajili ya kushiriki katika sherehe ya kuapishwa Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumamosi ya kesho.
-
Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea
Jul 26, 2017 09:14Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yataendelea hadi pale utawala huo haramu utakapoangamizwa na kufutwa katika ramani ya dunia.
-
Marekani yaunga mkono waziwazi ISIS; Mbunge wa Congress asema: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran ni kwa manufaa ya Marekani
Jun 10, 2017 11:28Mbunge wa jimbo la California katika Baraza la Congress la Marekani ametoa matamshi ya kijuba na kuunga mkono waziwazi mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge la wakufurishaji la Daesh mjini Tehran, Iran, Jumatano asubuhi.
-
Viongozi wa kidini: Taifa la Iran litazishinda njama za maadui dhidi yake
Jun 10, 2017 03:24Viongozi wawili wa kidini nchini Iran wenye makao yao mjini Qum wamesisitiza katika taarifa zao walizozitoa kwa nyakati tofauti kwamba, taifa la Iran litazishinda njama za maadui dhidi yake.
-
Mbunge Marekani: Hujuma za kigaidi Tehran ni stratejia ya Trump
Jun 09, 2017 23:05Mbunge katika chama tawala cha Republican nchini Marekani amesema hujuma za hivi karibuni za kundi la kigaidi la ISIS mjini Tehran inaweza kuwa stratijia ya Rais Donald Trump.
-
Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji
Jun 09, 2017 10:55Mkuu wa ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya maadui ya kufanya mauaji katu haiwezi kulikatisha tamaa taifa la Iran.
-
Wairan wawaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi ya Tehran
Jun 09, 2017 03:51Shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya juzi hapa Tehran imefanyika kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu pamoja na familia za mashahidi hao katika ukumbi wa Aftab wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayatavuruga azma ya taifa la Iran
Jun 09, 2017 03:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa rambirambi kwa mnasaba wa mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika siku chache zilizopita mjini Tehran akisisitiza kuwa, jinai hiyo haiwezi kutia doa katika irada na azma ya taifa la Iran.
-
Zarif: Matamshi ya Trump kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Tehran yanaudhi
Jun 08, 2017 11:05Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, matamshi ya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni kejeli kwa wahanga wa mashambulizi hayo na yanaudhi.
-
Kiongozi Muadhamu: Magaidi hawawezi kufua dafu mbele ya irada ya taifa la Iran
Jun 08, 2017 00:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alasiri ya jana alihutubia hadhara ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliokwenda kuonana naye na kusema kuwa, mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana mjini Tehran hayawezi kutia doa katika irada na azma kubwa ya taifa na viongozi wa Iran.