-
Shirika la iGap la Iran linatoa zawadi ya $250,000 kwa atakayeidukua aplikeshieni yake
Jan 11, 2018 08:50Makala yetu ya leo ya matukio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani kati ya mengine ina habari kuhusu zawadi ya $250,000 kwa yeyote atayakedukua (hack) aplikesheni ya iGap.
-
Mwanasayansi Muirani achangia kuunda miwani maalumu ya kuona usiku
May 04, 2017 07:28Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika makala hii ambayo huangazia mafanikio ya wanasayansi nchini Iran na maeneo mengine duniani katika sekta za sayansi na teknolojia.
-
Seli shina zatumika kutibu macho yaliyopoteza uwezo wa kuona
Apr 30, 2017 07:42Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala nyingine yenye kuangazia maendeleo ya Iran katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba nchini Iran na maeneo mengine duniani. Katika makala ya leo tutaangazia mafanikio ya wanasayansi Wairani katika kuunda lami isiyo na mada chafuzi kati ya mafanikio mengine. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Wanasayansi Iran waunda roboti la kufunza lugha ya ishara
Apr 12, 2017 12:59Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala nyingine yenye kuangazia maendeleo ya Iran katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba nchini Iran na maeneo mengine duniani.
-
Iran kuongeza ushirikiano wake wa sayansi na teknolojia na nchi za Kiislamu
Jun 02, 2016 04:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapanua zaidi wigo wa ushirikiano wake katika masuala ya sayansi na teknolojia na nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.