-
Rais wa zamani wa Tunisia akosoa rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo
Jul 06, 2022 07:39Rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki, amekosoa rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo ambayo ilizinduliwa na Rais Kais Saeid wa nchi hiyo.
-
Kamati ya Katiba Tunisia yapinga rasimu ya katiba iliyopendekezwa na Rais
Jul 05, 2022 01:01Mkuu wa Kamati ya Katiba ya Tunisia ametangaza upinnzani wake dhidi ya rasimu ya katiba mpya iliyotangazwa na Rais Kais Saeid wa nchi hiyo, akisema kuwa Rais Saeid anapigania kuwepo katiba ya upande mmoja nchini humo.
-
Wafanyakazi Tunisia wasema Katiba mpya inatishia demokrasia
Jul 03, 2022 07:40Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT umepinga vikali azma ya Rais Kais Saeid wa nchi hiyo ya kuifanyia mabadiliko katiba ya nchi kwa maslahi yake binafsi, ukisisitiza kuwa mpango huo ni tishio kubwa kwa demokrasia nchini humo.
-
Rais wa Tunisia azindua rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo inayopingwa na wengi
Jul 01, 2022 08:03Rais Kais Saeid wa Tunisia amezindua rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo ambayo ndani yake inashuhudiwa kwa uwazi jinsi rais huyo alivyoongezewa mamlaka ya utawala.
-
Kiongozi wa Ennahdha, Rached Ghannouchi na wenzake 33 wafunguliwa mashtaka rasmi ya "ugaidi"
Jun 30, 2022 02:18Timu ya watetezi ya viongozi wa mrengo wa kushoto, Chokri Belaid na Mohamed Brahmi, imetangaza kwamba mahakama ya Tunisia imemfungulia mashtaka mkuu wa harakati ya Ennahdha, Rached Ghannouchi na watu wengine 32 kwa tuhuma za "ugaidi".
-
Rais wa zamani wa Tunisia ataka kususiwa kura ya maoni
Jun 27, 2022 03:45Moncef al Marzouq Rais wa zamani wa Tunisia amewatolea wito wananchi kususia kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.
-
Tunisia yapinga ushiriki wa Israel katika maneva ya Simba wa Afrika 2022
Jun 26, 2022 03:09Wizara ya Ulinzi ya Tunisia imepinga ushiriki wa jeshi la utawala wa haramu wa Israel katika mazoezi ya pamoja ya kijeshi "African Lion 2022" (Simba wa Afrika 2022).
-
Wizara ya Mambo ya Ndani Tunisia: Kuna njama ya kumuua Kais Saied
Jun 25, 2022 03:02Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa ina taarifa za kuaminika zinazothibitisha kuwepo kwa vitisho vinavyolenga uhai wa Rais wa Jamhuri, Kais Saied.
-
Rais wa Tunisia apasisha kufutwa Uislamu katika katiba ya nchi hiyo
Jun 24, 2022 01:16Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.
-
Kuendelea maandamano ya Watunisia wanaopinga kura ya maoni ya katiba
Jun 21, 2022 02:37Mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia umeshtadi na kupamba moto zaidi. Sambamba na kukaribia tarehe ya kufanyika kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba, maelfu ya Watunisia wameendeleza maandamano ya kupinga kura hiyo ya maoni.