-
Kuendelea mgogoro Tunisia kwa kuvunjika mazungumzo ya serikali na wapinzani
Jun 16, 2022 03:51Mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia umechukua sura na muelekeo mpana zaidi baada ya kuvunjika mazungumzo baina ya serikali na muungano wa asasi za ajira, ambao ndio mwamvuli mkubwa zaidi wa miungano mbalimbali inayopinga sera za serikali ya sasa ya nchi hiyo; na sasa muungano huo umewatolea mwito wananchi kushiriki kwenye mgomo wa umma wa nchi nzima.
-
Tunisia: Hatufanyi mazungumzo ya kidiplomasia na Israel
Jun 09, 2022 23:20Tunisia imekadhibisha ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa imeanzisha mazungumzo ya kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
An-Nahdhah: Tutakabiliana na kura ya maoni ya 'mapinduzi' dhidi ya katiba ya Tunisia
Jun 08, 2022 03:38Chama cha Kiislamu nchini Tunisia cha An-Nahdhah kimetangaza kuwa, kitaanzisha muungano na vuguvugu kubwa la kisiasa na la umma kukabilana na mapinduzi dhidi ya katiba ya nchi hiyo.
-
Polisi Tunisia wapambana na waandamamaji wanaopinga kura ya maoni ya Julai
Jun 05, 2022 08:02Mapambano yamezuka mjini Tunis kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga kura ya maoni iliyoitishwa na Rais Kais Saeid wa Tunisia kufanyika nchini humo mwezi ujao wa Julai takriban mwaka mmoja tangu kiongozi huyo alipochukua hatua inayoelezewa na wakosoaji wake kama mapinduzi ya kijeshi.
-
Alkhamisi tarehe 26 Mei mwaka 2022
May 26, 2022 03:08Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 26 mwaka 2022.
-
Mawakili wa Tunisia wataka kuanzisha uhusiano na Israel kutambuliwe kuwa ni uhalifu
Apr 26, 2022 03:12Kituo cha Taifa cha Mawakili nchini Tunisia kimewataka viongozi wa nchi hiyo kulitambua suala la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel kuwa ni jinai na uhalifu.
-
Meli iliyobeba tani 750 za mafuta ya dizeli yazama katika pwani ya Tunisia
Apr 16, 2022 13:36Meli iliyokuwa imesheheni tani 750 za mafuta ya dizeli imezama leo Jumamosi katika Ghuba ya Gabes katika ukanda wa pwani ya Tunisia.
-
Marzouki alitaka jeshi la Tunisia kumuondoa madarakani rais wa nchi hiyo
Apr 11, 2022 11:29Rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki ametoa wito kwa jeshi na vikosi vya usalama vya nchi hiyo kuingilia kati na kumwondoa madarakani rais wa sasa, Kais Saied na kulikabidhi mamlaka bunge lililochaguliwa na wananchi hadi pale uchaguzi mpya uliohuru na wa haki utakapofanyika.
-
Watoto 6 miongoni mwa wahajiri 13 waliokufa maji Tunisia
Apr 11, 2022 02:36Watoto 6 miongoni mwa wahajiri 13 waliokufa maji baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Tunisia, wakijaribu kuelekea Italia.
-
Amnesty International yaitaka serikali ya Tunisia kukomesha "mashtaka ya kisiasa" dhidi ya wabunge
Apr 10, 2022 11:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa serikali ya Tunisia kukomesha manyanyaso ya kisiasa dhidi ya wabunge na kuheshimu haki na uhuru wao wa kujieleza, kukusanyika na kujumuika kwa amani.