-
Polisi Tunisia wapambana na waandamamaji wanaopinga kura ya maoni ya Julai
Jun 05, 2022 03:32Mapambano yamezuka mjini Tunis kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga kura ya maoni iliyoitishwa na Rais Kais Saeid wa Tunisia kufanyika nchini humo mwezi ujao wa Julai takriban mwaka mmoja tangu kiongozi huyo alipochukua hatua inayoelezewa na wakosoaji wake kama mapinduzi ya kijeshi.
-
Alkhamisi tarehe 26 Mei mwaka 2022
May 25, 2022 22:38Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 26 mwaka 2022.
-
Mawakili wa Tunisia wataka kuanzisha uhusiano na Israel kutambuliwe kuwa ni uhalifu
Apr 25, 2022 22:42Kituo cha Taifa cha Mawakili nchini Tunisia kimewataka viongozi wa nchi hiyo kulitambua suala la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel kuwa ni jinai na uhalifu.
-
Meli iliyobeba tani 750 za mafuta ya dizeli yazama katika pwani ya Tunisia
Apr 16, 2022 09:06Meli iliyokuwa imesheheni tani 750 za mafuta ya dizeli imezama leo Jumamosi katika Ghuba ya Gabes katika ukanda wa pwani ya Tunisia.
-
Marzouki alitaka jeshi la Tunisia kumuondoa madarakani rais wa nchi hiyo
Apr 11, 2022 06:59Rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki ametoa wito kwa jeshi na vikosi vya usalama vya nchi hiyo kuingilia kati na kumwondoa madarakani rais wa sasa, Kais Saied na kulikabidhi mamlaka bunge lililochaguliwa na wananchi hadi pale uchaguzi mpya uliohuru na wa haki utakapofanyika.
-
Watoto 6 miongoni mwa wahajiri 13 waliokufa maji Tunisia
Apr 10, 2022 22:06Watoto 6 miongoni mwa wahajiri 13 waliokufa maji baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Tunisia, wakijaribu kuelekea Italia.
-
Amnesty International yaitaka serikali ya Tunisia kukomesha "mashtaka ya kisiasa" dhidi ya wabunge
Apr 10, 2022 06:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa serikali ya Tunisia kukomesha manyanyaso ya kisiasa dhidi ya wabunge na kuheshimu haki na uhuru wao wa kujieleza, kukusanyika na kujumuika kwa amani.
-
Rais wa Tunisia aigiza Tume ya Uchaguzi iandae uchaguzi wa Bunge
Apr 05, 2022 07:22Rais wa Tunisia, Kais Saied ameitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (ISIE) ifanye maandalizi ya uchaguzi wa Bunge uliopangwa kufanyika Disemba 17 mwaka huu.
-
Kuvunjwa Bunge la Tunisia
Apr 01, 2022 03:12Rais Kais Saied wa Tunisia amelivunja Bunge la nchi hiyo kufuatia kushtadi mivutano ya kisiasa nchini humo.
-
Rais Kais Saied wa Tunisia avunja Bunge, asema kuna jaribio la mapinduzi
Mar 30, 2022 22:42Rais wa Tunisia, Kais Saied jana Jumatano alitangaza kuvunja Bunge muda mfupi baada ya bunge hilo kupitisha sheria ya kufuta hatua za dharura zilizotangazwa na kiongozi huyo majira ya joto mwaka jana.