-
Hatua ya Rais wa Tunisia kurefusha hali ya hatari yapokewa kwa hisia tofauti
Feb 19, 2022 23:19Wananchi wa Tunisia wamegawanyika baada ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo kutangaza kurefusha muda wa hali ya hatari katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika hadi mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka huu wa 2022.
-
Kurefushwa hali ya hatari nchini Tunisia
Feb 19, 2022 08:35Rais wa Tunisia, Kais Saied, amerufusha muda wa hali ya hatari nchini humo hadi mwishoni mwa huu wa 2022, licha ya maandamano yanayoendelea kufanyika kote nchini humo.
-
Rais wa Tunisia aanzisha Baraza Kuu la Mahakama la muda
Feb 13, 2022 04:21Rais Kasi Saied wa Tunisia ametangaza kuanzisha Baraza Kuu la Idara ya Mahakama la muda baada ya kulivunja lile lililokuwepo.
-
Kuvunjwa kwa Baraza Kuu la Mahakama la Tunisia, hatua ya kuongeza mamlaka ya Kais Saied
Feb 08, 2022 01:06Rais wa Tunisia Kais Saied amesema ameamua kulivunja Baraza Kuu la Mahakama nchini humo katika hali ya kutatanisha ambayo imeibua wasiwasi kuhusu uhuru wa mahakama.
-
Le Point: Tunisia inaporomoka kuelekea kuzimu
Feb 07, 2022 23:15Nchi ya Tunisia ambayo miaka 11 iliyopita, ilisifiwa kwa kuwa kinara wa demokrasia kati ya nchi za Kiarabu zilizokumbwa na wimbi la mapinduzi ya wananchi na kupewa hadhi ya kuwa mgeni wa heshima katika mkutano wa G7, sasa inaonekana kufifia na kuorodheshwa kati ya nchi za kifisadi.
-
Rais wa Tunisia avunja Baraza Kuu la Idara ya Mahakama
Feb 06, 2022 23:01Rais Kais Saied wa Tunisia ametangaza habari ya kulivunja Baraza Kuu la Idara ya Mahakama, huku msuguano mkali ukiendelea kushuhudiwa baina yake na mhimili huo wa dola.
-
Umoja wa Mataifa waelezea kusikitishwa na hali mbaya ya kisiasa nchini Tunisia
Jan 22, 2022 10:34Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kufuatia kuongezeka ukandamizaji wa wapinzani nchini Tunisia sambamba na wakati huu wa kuadhimisha mapinduzi ya wananchi yaliyomng'oa madarakani dikteta Zainul Abidin Ben Ali.
-
Chama cha Nahdha Tunisia chataka kuhitimishwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji
Jan 15, 2022 23:15Chama cha Nahdha cha Tunisia kimetoa taarifa kikitaka kuhitimishwa vitendo vya utumiaji mabavu na ukandamizaji unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya maandamano ya amani ya wananchi wa nchi hiyo.
-
Rais wa Tunisia akosolewa kwa kuandaa bajeti bila kumshirikisha yeyote
Jan 15, 2022 07:39Muungano wa Wafanyakazi Tunisia (UGTT) umemkosoa vikali Rais Kais Saied wa nchi hiyo, kwa kutwaa mamlaka yote ya nchi, na kuandaa bajeti ya nchi yeye binafsi pasi na kuzishirikisha taasisi nyingine husika.
-
Maandamano dhidi ya serikali nchini Tunisia katika maadhimisho ya mapinduzi ya Januari 14
Jan 15, 2022 07:11Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa 11 wa harakati ya wananchi wa Tunisia iliyopelekea kupinduliwa serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Zine El Abidine Ben Ali, Tunisia jana Ijumaa ilishuhidia maandamano makubwa ya kupinga utendaji wa kiongozi wa sasa wa nchji hiyo, Kais Saied.