Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Chama cha Nahdha Tunisia chataka kuhitimishwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji

    Chama cha Nahdha Tunisia chataka kuhitimishwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji

    Jan 15, 2022 23:15

    Chama cha Nahdha cha Tunisia kimetoa taarifa kikitaka kuhitimishwa vitendo vya utumiaji mabavu na ukandamizaji unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya maandamano ya amani ya wananchi wa nchi hiyo.

  • Rais wa Tunisia akosolewa kwa kuandaa bajeti bila kumshirikisha yeyote

    Rais wa Tunisia akosolewa kwa kuandaa bajeti bila kumshirikisha yeyote

    Jan 15, 2022 07:39

    Muungano wa Wafanyakazi Tunisia (UGTT) umemkosoa vikali Rais Kais Saied wa nchi hiyo, kwa kutwaa mamlaka yote ya nchi, na kuandaa bajeti ya nchi yeye binafsi pasi na kuzishirikisha taasisi nyingine husika.

  • Maandamano dhidi ya serikali nchini Tunisia katika maadhimisho ya mapinduzi ya Januari 14

    Maandamano dhidi ya serikali nchini Tunisia katika maadhimisho ya mapinduzi ya Januari 14

    Jan 15, 2022 07:11

    Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa 11 wa harakati ya wananchi wa Tunisia iliyopelekea kupinduliwa serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Zine El Abidine Ben Ali, Tunisia jana Ijumaa ilishuhidia maandamano makubwa ya kupinga utendaji wa kiongozi wa sasa wa nchji hiyo, Kais Saied.

  • Chama cha Ennahda Tunisia chatoa wito wa maandamano makubwa Ijumaa ijayo

    Chama cha Ennahda Tunisia chatoa wito wa maandamano makubwa Ijumaa ijayo

    Jan 11, 2022 10:40

    Chama cha Ennahda chenye mfungamano na Harakati ya Ikhwanul Muslimini cha Tunisia kimetoa taarifa kikiwatolea wito wananchi kushiriki kwa wingi katika maandamano yatakayofanyika nchini humo Ijumaa tarehe 14 mwezi huu wa Januari.

  • Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani

    Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani

    Jan 07, 2022 23:19

    Spika wa bunge lililovunjwa la Tunisia na Mawaziri Wakuu wa zamani wa nchi hiyo watafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukiuka sheria za kampeni za kisiasa na kutobainisha vyanzo vya fedha zao wakati wa kampeni za uchaguzi.

  • Spika wa bunge lililovunjwa na waziri mkuu wa zamani wa Tunisia wafunguliwa mashtaka

    Spika wa bunge lililovunjwa na waziri mkuu wa zamani wa Tunisia wafunguliwa mashtaka

    Jan 06, 2022 04:26

    Spika wa Bunge lililovunjwa na waziri mkuu wa zamani wa Tunisia watafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukiuka sheria za uendeshaji kampeni za kisiasa na kutobainisha wazi vyanzo vya fedha walizotumia katika kampeni za uchaguzi.

  • Miito yatolewa Tunisia kwa ajili ya kuachiwa huru Naibu Mkuu wa Annahdha

    Miito yatolewa Tunisia kwa ajili ya kuachiwa huru Naibu Mkuu wa Annahdha

    Jan 02, 2022 23:05

    Miito imeendelea kutolewa nchini Tunisia ili kuachiwa huru mwanasiasa aliyeko kizuini, Noureddine Bhiri, ambaye pia ni Naibu Mkuu wa chama kikubwa zaidi cha kisiasa huko Tunisia cha Annahdha.

  • Afisa mwandamizi wa Annahdha 'atekwa nyara' na maafisa usalama Tunisia

    Afisa mwandamizi wa Annahdha 'atekwa nyara' na maafisa usalama Tunisia

    Jan 01, 2022 09:04

    Harakati ya Annahdha nchini Tunisia imesema kuwa, afisa mwandamizi wa chama hicho cha kisiasa ametiwa mbaroni na maafisa usalama wa nchi hiyo.

  • Indhari kuhusu kurejea udikteta huko Tunisia

    Indhari kuhusu kurejea udikteta huko Tunisia

    Dec 30, 2021 08:06

    Rached Ghannouchi Spika wa Bunge lililosimamishwa la Tunisia amezitaja hatua na maamuzi yanayochukuliwa na Rais wa nchi hiyo, Kais Saied kuwa ni sawa ni kuhuisha tajiriba iliyofeli na kueleza kuwa, Tunisia inaelekea katika mkondo wa kurejea kwenye udikteta na kutengwa.

  • Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Dec 30, 2021 04:47

    Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS