Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Marzouki ajibu mapigo, asema hukumu dhidi yake haina maana, imetolewa na rais asiye halali

    Marzouki ajibu mapigo, asema hukumu dhidi yake haina maana, imetolewa na rais asiye halali

    Dec 23, 2021 23:20

    Rais wa zamani wa Tunisia Moncef Marzouki amesema kuwa tuhuma zote zinazomkabili zimepindua uhakika wa mambo na zinamhusu Rais Kais Saied mwenyewe. Al Marzouki ametoa matamshi hayo akizungumzia hukumu ya awali iliyotolewa dhidi yake na mahakama nchini Tunisia bila ya kuwepo mahakamani, na kumhukumu kifungo cha miaka 4 jela.

  • Rais wa zamani wa Tunisia ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kumpinga rais

    Rais wa zamani wa Tunisia ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kumpinga rais

    Dec 23, 2021 03:42

    Mahakama ya Tunisia imemhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo Mohamed Moncef Marzouki kifungo cha miaka minne jela.

  • Mwanasheria wa Tunisia awasilisha mashtaka ya

    Mwanasheria wa Tunisia awasilisha mashtaka ya "uhaini mkubwa" dhidi ya Kais Saied, Al Sisi na mrithi wa utawala wa Imarati

    Dec 22, 2021 23:21

    Mwanasheria wa Tunisia ametangaza kuwa amefungua kesi mahakamani dhidi ya baadhi ya maafisa wa serikali ya Tunisia na baadi ya viongozi wa Kiarabu kwa tuhuma za "uhaini mkubwa".

  • Tume ya Uchaguzi Tunisia: Rais Saied hakushauriana nasi kuhusu kura ya maoni au uchaguzi

    Tume ya Uchaguzi Tunisia: Rais Saied hakushauriana nasi kuhusu kura ya maoni au uchaguzi

    Dec 16, 2021 13:10

    Adel Brinsi ambaye ni mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tunisia, amesema kuwa Rais Kais Saied wa nchi hiyo hakushauriana na mamlaka hiyo kuhusu suala la kuitisha kura ya maoni ya marekebisho ya Katiba au uchaguzi ujao wa Bunge uliopangwa kufanyika Disemba 17 mwaka ujao.

  • Rais wa Tunisia: Bunge linaendelea kusitishwa hadi uchaguzi mpya utakapoandaliwa

    Rais wa Tunisia: Bunge linaendelea kusitishwa hadi uchaguzi mpya utakapoandaliwa

    Dec 13, 2021 23:53

    Rais wa Tunisia Kais Saied alitangaza jioni ya Jumatatu jana kwamba Bunge la nchi hiyo litaendelea kusitishwa hadi uchaguzi mpya utakapoandaliwa, akiyashutumu makundi ya kisiasa kuwa yamesaliti nchi na kupora fedha za umma.

  • Mabrouk: Tunisia sasa iko nje ya klabu ya mataifa ya kidemokrasia

    Mabrouk: Tunisia sasa iko nje ya klabu ya mataifa ya kidemokrasia

    Dec 11, 2021 04:39

    Waziri wa zamani wa Tunisia ameseaa kuwa nchi hiyo imeachana na klabu ya nchi za kidemokrasia baada ya rais wa nchi hiyo kutwaa mamlaka yote ya utendaji mapema mwaka huu, na kusababisha mzozo mkubwa wa kisiasa nchini humo.

  • Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia

    Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia

    Dec 03, 2021 01:03

    Licha ya mgogoro wa kisiasa wa Tunisia kuendela kwa miezi kadhaa sambamba na kufanyika juhudi za kujaribu kuumaliza, lakini juhudi hizo zimeshindwa kuzaa matunda.

  • Financial Times: Fungate ya Rais Kais Saied wa Tunisia inaelekea ukingoni

    Financial Times: Fungate ya Rais Kais Saied wa Tunisia inaelekea ukingoni

    Nov 16, 2021 03:39

    Gazeti la Financial Time la Uingereza limeripoti kuwa wataalamu wanasema fungate ya Rais wa Tunisia itamalizika hivi karibuni kutokana na mashaka ya kushindwa kwake kupata suluhisho la haraka la mgogoro wa kiuchumi unaoisumbua nchi hiyo licha ya kuwa na uungaji mkono wa kiasi fulani kwa sasa.

  • Serikali ya Tunisia yaamuru kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo kutokana na misimamo yake

    Serikali ya Tunisia yaamuru kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo kutokana na misimamo yake

    Nov 05, 2021 07:50

    Maafisa wa serikali ya Tunisia wametoa amri ya kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo Moncef Marzouki kutokana na misimamo yake inayopinga maamuzi yaliyochukuliwa na kiongozi wa sasa wa nchi hiyo, Kais Saied.

  • Moncef Marzouki: Saeid auzuliwe na kushtakiwa kwa kuangamiza utawala wa Sheria Tunisia

    Moncef Marzouki: Saeid auzuliwe na kushtakiwa kwa kuangamiza utawala wa Sheria Tunisia

    Oct 28, 2021 06:34

    Rais wa zamani wa Tunisia amewataka wananchi wa nchi hiyo wafanye maandamano ya kupinga maamuzi ya rais wa sasa wa nchi hiyo, Kais Saied, kumuondoa madarakani na kumfikisha mahakamani kwa tuhuma za kuangamiza serikali, mapinduzi ya wananchi na utawala wa sheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS