Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Rais wa Tunisia aahidi kuanzisha mazungumzo ya kitaifa nchini

    Rais wa Tunisia aahidi kuanzisha mazungumzo ya kitaifa nchini

    Oct 22, 2021 06:05

    Rais Kais Saied wa Tunisia amesema kuwa karibuni ataanzisha mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho katiba na mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa Tunisia

    Kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa Tunisia

    Oct 12, 2021 23:00

    Hatimaye baada ya vuta nikuvute ya kisiasa ya majuma kadhaa nchini Tunisia, serikali mpya ya nchi hiyo imeapishwa ikiongozwa na mwanamama Najla Bouden Romdhane.

  • Maelfu ya watu waandamana nchini Tunisia kutaka Rais Kais Saied ajiuzulu

    Maelfu ya watu waandamana nchini Tunisia kutaka Rais Kais Saied ajiuzulu

    Oct 10, 2021 23:01

    Maelfu ya watu wamemiminika kwenye mitaa ya mji mkuu wa Tunisia, Tunis katika maandamano mapya ya kumtaka rais wa nchi hiyo Kais Saied ajiuzulu.

  • Rais wa zamani ataka maandamano makubwa dhidi ya Rais wa sasa Tunisia

    Rais wa zamani ataka maandamano makubwa dhidi ya Rais wa sasa Tunisia

    Oct 10, 2021 04:11

    Aliyekuwa rais wa Tunisia amewataka wananchi wa hiyo ya Kiarabu kushiriki kwa wingi katika maandamano yanayotazamiwa kufanyika leo Jumapili, dhidi ya rais wa sasa wa hiyo, Kais Saied, anayemtuhumu kuwa amehodhi madaraka na mamlaka yote ya nchi.

  • Maelfu waandamana kumuunga mkono Rais wa Tunisia

    Maelfu waandamana kumuunga mkono Rais wa Tunisia

    Oct 04, 2021 08:06

    Zaidi ya watu elfu tano wameshiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Kais Saied wa Tunisia anayetuhumiwa na upinzani kuhodhi madaraka yote ya utendaji ya nchi hiyo.

  • Tunisia yasikitishwa na uamuzi wa Ufaransa wa kupunguza viza kwa raia wake

    Tunisia yasikitishwa na uamuzi wa Ufaransa wa kupunguza viza kwa raia wake

    Oct 04, 2021 00:42

    Rais Kais Saied wa Tunisia amefanya mazungumzo na simu na Rais mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kusikitishwa na umauzi uliochukuliwa na Paris wa kupunguza idadi ya viza zilizokuwa zikitolewa kwa raia wa Tunisia wanaotaka kuelekea Ufaransa.

  • Mgogoro wa kisiasa waendelea kutokota Tunisia baada ya wabunge kuzuiwa wasiingie bungeni

    Mgogoro wa kisiasa waendelea kutokota Tunisia baada ya wabunge kuzuiwa wasiingie bungeni

    Oct 02, 2021 04:10

    Serikali ya Tunisia imeweka ulinzi mkali kwenye majengo ya bunge la nchi hiyo na kuwazuia wabunge wasiingie bungeni humo.

  • Harakati ya Ennahda Tunisia yapinga maamuzi ya Rais Kais Saied

    Harakati ya Ennahda Tunisia yapinga maamuzi ya Rais Kais Saied

    Sep 30, 2021 07:59

    Harakati ya Ennahda nchini Tunisia imepinga hatua ya rais wa nchi hiyo ya kumteua waziri mkuu mpya ikisema kuwa ni sawa na kukanyaga katiba ya nchi na kufanya mapinduzi dhidi ya utawala wa sheria na demokrasia.

  • Baada ya miezi miwili ya kuhodhi madaraka, Rais wa Tunisia ateua waziri mkuu wa kwanza mwanamke

    Baada ya miezi miwili ya kuhodhi madaraka, Rais wa Tunisia ateua waziri mkuu wa kwanza mwanamke

    Sep 29, 2021 09:30

    Rais Kais Saied wa Tunisia amemetua Najla Bouden Romdhane, kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi hiyo, baada ya kupita takribani miezi miwili tangu alipohodhi madaraka yote ya nchi, hatua iliyoelezwa na wapinzani wake kama mapinduzi ya kijeshi.

  • Watunisia waandamana dhidi ya serikali katika mji mkuu, Tunis

    Watunisia waandamana dhidi ya serikali katika mji mkuu, Tunis

    Sep 26, 2021 11:37

    Wananchi wa Tunisia leo Jumapili wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis kupinga hatua za karibuni za Rais Kais Saeid.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS