-
HRW yakosoa hatua za karibuni za Rais wa Tunisia
Sep 26, 2021 01:04Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa hatua zilizochukuliwa na Rais Kais Saeid wa Tunisia.
-
Kuendelea mgogoro wa Tunisia; maandamano ya waungaji mkono na wapinzani wa maamuzi ya Rais
Sep 21, 2021 04:26Mgogoro wa Tunisia umechukua wigo mpana zaidi hivi sasa ambapo waungaji mkono na wapinzani wa maamuzi ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo wamemiminika katika mitaa na barabaraza za miji ya nchi hiyo.
-
Vyama vitano vya siasa Tunisia vyapinga amri ya rais ya kusitishwa Katiba
Sep 15, 2021 08:13Vyama 5 vya siasa nchini Tunisia vimetoa taarifa ya pamoja vikipinga amri ya kusitishwa Katiba na kufanyiwa mageuzi.
-
Spika wa Bunge la Tunisia ataka kufanyike mazungumzo ya kitaifa
Sep 13, 2021 03:35Spika wa Bunge ambaye pia ni mkuu wa chama cha An Nahdhah cha Tunisia amesema anataraji kuwa mazungumzo ya kitaifa yataanza chini ya usimamizi wa Rais Kais Saeid wa nchi hiyo.
-
Radiamali hasi ya vyama vya wafanyakazi Tunisia, kupinga uingiliaji wa Marekani
Sep 05, 2021 07:22Vyama vya ushirika, vya wafanyakazi na vya kisiasa vya Tunisia, siku ya Jumatano vilisusia mazungumzo na ujumbe wa Marekani uliokwenda nchini humo kwa madai ya kutatua mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Wafanyakazi, viongozi wa kisiasa Tunisia wakataa kukutana na Maseneta wa US
Sep 04, 2021 05:44Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT na vyama viwili vya kisiasa nchini humo vimesusia mwaliko wa ujumbe wa Maseneta wa Marekani ulioitembelea nchi hiyo ya Kiarabu, kujadili mgogoro na mkwamo wa kisiasa unaoshuhudia nchini humo.
-
Kurefusha Rais wa Tunisia muda wa kusimamishwa shughuli za Bunge
Aug 24, 2021 22:12Licha ya malalamiko ya kila upande, lakini Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuwa, shughuli za Bunge la nchi hiyo zitaendelea kusitishwa kwa muda usiojulikana.
-
Rais wa Tunisia arefusha muda wa kusimamishwa shughuli za Bunge
Aug 24, 2021 03:15Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuwa, shughuli za Bunge la nchi hiyo zitaendelea kusitishwa kwa muda usiojulikana.
-
Rais Kais Saied wa Tunisia: Kuna mpango wa kutaka kuniua
Aug 21, 2021 03:47Rais Kais Saied wa Tunisia ameyatuhumu makundi ya kisiasa kwamba yanapanga mikakati ya kutoa dhoruba dhidi ya serikali yake ikiwa ni pamoja na mpango wa kutaka kumuua yeye mwenyewe.
-
Chama cha Ennahdha chamtaka Rais wa Tunisia atazame upya maamuzi yake ya kisiasa
Aug 18, 2021 08:45Kwa wiki kadhaa sasa nchi ya Tunisia imekumbwa na machafuko ya kisiasa na maandamano ya wananchi wanaopinga hali inayotawala nchini humo.