-
Mahakama Kuu ya India yatengua sheria ya marufuku ya kubadili dini
Apr 14, 2021 02:35Mahakama ya Juu ya India imetengua sheria inayowapiga marufuku raia wa nchi hiyo kubadili dini kutoka kwenye imanii ya Kihindu na kuingia kwenye Uislamu au ukristo. Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo imesema kuwa, sheria hiyo inapingana na katiba ya nchi.
-
Kuendelea sera za ubaguzi wa rangi barani Ulaya na malalamiko ya wananchi
Apr 05, 2021 02:31Suala la Ubaguzi wa rangi limegeuka na kuwa tatizo kubwa kabisa kwa raia wa mataifa ya Ulaya.
-
Guterres: Nchi tajiri ziache ubaguzi na ukiritimba katika ugavi wa chanjo ya corona
Mar 29, 2021 11:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa ugavi usio wa kiadilifu wa chanjo ya virusi vya corona duniani na kuzitaka nchi tajiri ambazo zinajilimbikizia kiwango kikubwa sana cha chanjo ya corona kutoa baadhi ya chanjo hiyo kwa nchi nyingine za dunia.
-
Ubaguzi wa rangi katika familia ya kifalme ya Uingereza
Mar 10, 2021 12:02Licha ya madai ya nchi za Magharibi kuwa zinazingatia usawa wa watu katika jamii na kuheshimu haki za binadamu, lakini ukweli wa mambo ni kuwa nchi hizo zinatekeleza siasa za ubaguzi dhidi ya raia wao katika nyanja mbali mbali za kijamii na kiutamaduni.
-
UN: Fikra ya kujiona bora watu weupe na ya Kinazi ni tishio la kimuundo duniani
Feb 22, 2021 14:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuongezwa juhudi za kupiga vita fikra za Kinazi, za kujiona bora Wazungu na watu weupe pamoja na ugaidi wa kizazi na kikaumu.
-
Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani
Feb 19, 2021 08:08Ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimbari na ukatili dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Marekani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa, na hadi sasa Wamarekani weusi wangali wanasumbuliwa na aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili.
-
Sri Lanka yatakiwa kuacha kuchoma maiti za Waislamu
Jan 10, 2021 04:21Jumuiya 16 zisizo za kiserikali nchini Australia zimetoa wito wa kushinikizwa serikali ya Sri Lanka ili isitishe kuchoma moto maiti za Waislamu wanaoaga dunia kutokana na virusi vya corona nchini Sri Lanka.
-
Takwa la harakati ya Black Lives Matter kwa Joe Biden
Nov 10, 2020 08:02Ukatili mkubwa na ubaguzi wa rangi wa kimfumo dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Mareikani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa. Wamarekani weusi wamekuwa wakikumbana na sulubu na mashaka mengi ya aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili licha ya miaka mingi ya mapambano ya kupigania haki zao.
-
Erdogan: Dunia ipige vita uadui dhidi ya Uislamu sawa ilivyo katika suala la kupiga vita Uyahudi
Nov 03, 2020 02:45Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ameitaka dunia ijifunze na kupata somo na ibra kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa iliyoacha kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina na kusisitiza kuwa, dunia inapaswa kupiga marufuku na kupambana na chuki na uhasama dhidi ya Uislamu kama ilivyopambana na chuki dhidi ya Uyahudi baada ya Holocaust (yanayodaiwa kuwa mauaji ya Mayahudi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia).
-
Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19
Oct 19, 2020 15:40Gazeti la Washington Post la Marekani limechapisha makala inayokituhumu chama tawala cha Republican kinachoongozwa na Donald Trump kuwa kinawakandamiza wapigakura weusi na kwamba kina malengo sawa na yale ya makundi ya wabaguzi wa rangi yanayoamini kuwa watu weupe ndio kizazi bora zaidi kuliko watu wa rangi nyingine.