• Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19

    Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19

    Oct 19, 2020 15:40

    Gazeti la Washington Post la Marekani limechapisha makala inayokituhumu chama tawala cha Republican kinachoongozwa na Donald Trump kuwa kinawakandamiza wapigakura weusi na kwamba kina malengo sawa na yale ya makundi ya wabaguzi wa rangi yanayoamini kuwa watu weupe ndio kizazi bora zaidi kuliko watu wa rangi nyingine.

  • Newsweek: Serikali ya Trump inaficha ugaidi wa ndani unaofanywa na wazungu

    Newsweek: Serikali ya Trump inaficha ugaidi wa ndani unaofanywa na wazungu

    Sep 25, 2020 08:23

    Jarida la kila wiki la Newsweek nchini Marekani limechapisha makala ya mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) Jasmine el Gamal ambaye amesema kuwa licha ya kupita mwaka mmoja sasa tangu Wizara ya Usalama wa Ndani ya Marekani iliyoanzishwa baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 kutangaza azma yake ya kupambana na ugaidi wa ndani na vitisho vya wazungu wenye misimamo mikali, lakini uchunguzi unaonesha kuwa, wizara hiyo haijachukua hatua yoyote katika uwanja huo.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

    Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

    Jul 26, 2020 02:40

    Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.

  • Mbunge wa Pakistan mwenye asili ya Tanzania alaani ubaguzi wa rangi Marekani

    Mbunge wa Pakistan mwenye asili ya Tanzania alaani ubaguzi wa rangi Marekani

    Jun 28, 2020 08:17

    Mbunge mmoja wa Pakistan mwenye asili ya Afrika amekosoa vikali vitendo vya utumiaji mabavu na ubaguzi wa rangi dhidi ya raia wa Marekani wenye asili ya Afrika.

  • Binti wa Luther King awataka Wamarekani kuendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi

    Binti wa Luther King awataka Wamarekani kuendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi

    Jun 24, 2020 13:15

    Binti wa aliyekuwa kiongozi wa harakati ya kupigania haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Martin Luther King, amewataka raia wa nchi hiyo waendeleze maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani hadi uadilifu utakapotendeka.

  • Baraza la Haki la UN lapasisha azimio la kulaani ubaguzi wa rangi

    Baraza la Haki la UN lapasisha azimio la kulaani ubaguzi wa rangi

    Jun 20, 2020 06:43

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani vikali ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi dhidi ya raia weusi katika nchi mbali mbali duniani.

  • Bachelet: Ubaguzi wa rangi nchini Marekani unasikitisha

    Bachelet: Ubaguzi wa rangi nchini Marekani unasikitisha

    Jun 18, 2020 08:20

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema anasikitishwa sana na ubaguzi wa rangi wa kimfumo nchini Marekani.

  • Macron apinga kushambuliwa nembo za kikoloni

    Macron apinga kushambuliwa nembo za kikoloni

    Jun 16, 2020 02:35

    Kufuatia kuenea maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na utaifa huko Marekani ambapo wimbi lake limeenea pia barani Ulaya; wafanya maandamano na wale wote wanaopinga vitendo hivyo vya ubaguzi wameshambulia nembo mbalimbali za kikoloni katika nchi mbalimbali duniani ambazo kwa karne kadhaa zilipelekea raia weusi kutumiwa kama watumwa katika nchi za Magharibi. suala hilo limepingwa na baadhi ya wakuu wa Ulaya akiwemo Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.

  • Kuungana watu wa Ulaya na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Kuungana watu wa Ulaya na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Jun 15, 2020 02:23

    Ukandamizaji na utumiaji mabavu wa polisi ya Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika licha ya kuwa una historia kongwe, lakini kuuawa Mmarekani mweusi George Floyd jinai iliyofanywa na polisi mweupe katika mji wa Minneapolis kwenye jimbo la Minnesota, sio tu kwamba, kumewasha moto wa malalamiko na maandamano ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika miji mbalimbali ya Marekani, bali malalamiko hayo yameenea hadi katika nchi za bara Ulaya.

  • Masanamu yanayoashiria ubaguzi yaendelea kuvunjwa  Marekani na waandamanaji wenye hasira

    Masanamu yanayoashiria ubaguzi yaendelea kuvunjwa Marekani na waandamanaji wenye hasira

    Jun 12, 2020 07:53

    Waandamanaji wenye hasira nchini Marekani na maeneo mengine duniani wanaendeleza mkakati wa kuangusha, kuharibu na kuondoa masanamu ya wabaguzi wa rangi.