-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi
Nov 20, 2021 13:43Wizara ya Fedha ya Marekani juzi Alhamisi ilitangaza kuwa imeyaweka katika orodha yake ya vikwazo majina ya shakhsia sita na shirika moja la Iran kwa kisingizio cha kuingilia uchaguzi wa rais wa Marekani. Ofisi inayosimamia fedha ya taasisi hiyo ya Marekani imesema kuwa imeyaweka katika orodha yake ya vikwazo majina ya watu sita na taasisi moja ya Iran kwa kile ilichokitaja kuwa kujaribu kuathiri uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwaka 2020.
-
Kuanza zoezi la uandikishaji wa wagombea Urais na Ubunge katika uchaguzi wa Libya
Nov 09, 2021 07:47Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo na vuta nikuvute baina ya makundi na mirengo tofauti ya kisiasa nchini Libya, uandikishaji majina ya wagombea wa kiti cha urais na Bunge ulianza Jumatatu ya jana tarehe 8 Novemba.
-
Uchaguzi muhimu wa Jumapili ya leo na mustakbali wa Ujerumani
Sep 26, 2021 04:33Leo Jumapili Wajerumani wanashiriki katika uchaguzi muhimu wenye ushindani mkali ambao ni nadra sana kuonekana katika chaguzi ziizofanyika nchini humo.
-
Bunge la Libya lapiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo
Sep 23, 2021 04:13Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo. Hatua hiyo imecukuliwa huku pande zote zinazozozana nchini Libya zikiwa mbioni kutayarisha mazingira mwafaka ya kuitisha uchaguzi huru na wa haki nchini humo na kukomesha mgogoro unaoendelea kwa zaidi ya miaka 10 sasa katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika.
-
Mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini Russia wahujumiwa na wadukuzi
Sep 18, 2021 08:12Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulinzi wa Haki ya Kujitawala ya Baraza la Seneti la Russia ametangaza kuwa, mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini humo umehujumiwa na wadukuzi kutoka nchi za Magharibi.
-
Matukio ya kisiasa ya Morocco; Mohammed VI ateua waziri mkuu mpya
Sep 12, 2021 03:07Baada ya kushindwa vibaya chama tawala cha Uadilifu na Ustawi (PJD) katika uchaguzi wa wiki iliyopta nchini Morocco, Mfalme Mohammed VI wa nchi hiyo amemteua Aziz Akhannouch wa chama cha National Rally of Independents (NRI) kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo. Akhannouch amepewa jukumu la kuunda serikali mpya ya Rabat.
-
Uchaguzi wa mapema; chaguo la Ennahdha iwapo muafaka wa kisiasa hautafikiwa huko Tunisia
Aug 03, 2021 02:26Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tunisia na ambaye pia ni mmoja kati ya viongozi wa ngazi ya juu wa chama cha Ennahdha amesema kuwa chama hicho kinaunga mkono chaguo la kufanyika uchaguzi wa mapema wa Rais na Bunge iwapo hakutafikiwa mapatano.
-
Ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa Bunge nchini Ethiopia na changamoto za baadaye
Jul 12, 2021 07:30Hatimaye na baada ya kuahirishwa kwa miezi kadhaa, matokeo ya uchaguzi wa Bunge na serikali za mitaa yanaonesha kuwa, chama tawala nchini Ethiopia kimeibuka na ushindi kwa kupata viti 410 vya Bunge.
-
Rouhani: Kujitokeza wananchi kwa wingi katika uchaguzi kumemfelisha adui
Jun 19, 2021 08:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kumepelekea taifa la Iran lipate ushindi katika kukabiliana na maadui.
-
Sultan wa Oman naye ampongeza Bashar al Assad kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Syria
May 31, 2021 02:50Sultan wa Oman amemtumia ujumbe Rais Bashar al Assad wa Syria na kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo.