-
Mahmoud Abbas ampongeza Rais Bashar al Assad kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa Syria
May 30, 2021 02:45Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemtumia ujumbe wa maandishi Rais Bashar al Assad na kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa Syria.
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kufanyika uchaguzi kama ilivyopangwa
Mar 29, 2021 04:20Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa uchaguzi wa bunge nchini humo utafanyika kama ilivyopangwa yaani tarehe 10 mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Chama cha Waarabu kina turufu ya kuamua hatima ya uchaguzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 26, 2021 02:56Chama kidogo cha Orodha ya Muungano wa Waarabu (UAL) kimefanikiwa kushinda idadi muhimu ya viti katika uchaguzi wa Israel na kukipa turufu ya kuchagua waziri mkuu ajaye wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Uafriti wa Israel wa kutaka kuvuruga uchaguzi wa Palestina
Mar 23, 2021 02:44Mkuu wa shirika la usalama wa ndani la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shin Bet amemtaka Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aghairishe uchaguzi wa Palestina ikiwa harakati ya Hamas itashiriki katika uchaguzi huo.
-
Badran: Israel inaogopa ushindi wa Hamas katika uchaguzi ujao
Mar 21, 2021 07:42Mwanachama mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na kiwewe na wahaka mkubwa ukifahamu vyema kuwa harakati hiyo ya muqawama itaibuka mshindi katika uchaguzi ujao wa Palestina hususan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Makundi ya Palestina yasisitiza kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi
Mar 19, 2021 02:44Makundi ya Palestina yametoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Cairo mji mkuu wa Misri yakikisisitizia kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi.
-
Netanyahu aahidi kuteua waziri wa kwanza Mwislamu katika serikali ya Israel, iwapo atashinda
Feb 06, 2021 12:04Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameahidi kuwa iwapo atashinda uchaguzi ujao huko Israel atateua waziri wa kwanza Mwarabu na Mwislamu katika serikali ya utawala huo.
-
HAMAS yatoa onyo dhidi ya uingiliaji wowote wa kuvuruga uchaguzi wa Palestina
Feb 05, 2021 07:33Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo dhidi ya hatua yoyote ya kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi ujao wa Palestina.
-
Al Barghouthi: Uchaguzi ni utangulizi wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina
Feb 04, 2021 04:26Katibu Mkuu wa Vuguvugu la Ubunifu wa Kitaifa la Palestina amesisitiza kuwa uchaguzi ni utangulizi wa kuhitimishwa mpasuko na mgawanyiko na kufikiwa umoja wa kitaifa wa Palestina.
-
Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa
Jan 07, 2021 09:56Machafuko, fujo, vurugu, uporaji, ufyatuaji risasi, mauaji, ugaidi, mapinduzi, kukabiliana na mapinduzi; bali kwa kifupi; kashfa ya taifa, ndiyo maneno ambayo kila moja linafasiri matukio ya aibu yaliyotokea jana Jumatano, Januari 6, 2021 nchini Marekani ndani jengo la Congress