-
Kiongozi Muadhamu ashiriki uchaguzi wa Bunge na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu + Video
Feb 21, 2020 07:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu Wanaomchagua na Kusimamia Kazi za Kiongozi Muadhamu.
-
Macron aahidi kufungua ukurasa mpya katika siasa za Ufaransa
Apr 24, 2017 08:15Mgombea wa urais wa harakati ya mrengo wa wastani wa En Marche nchini Ufaransa ameahidi kubadili taswira na mkondo wa siasa za nchi hiyo iwapo ataibuka mshindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini humo.
-
Kutangazwa Waziri Mkuu Mpya wa Kongo katika kutekeleza makubaliano ya kisiasa
Apr 08, 2017 11:13Hatimaye Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya kufanyika mashauriano ya kina na kuchelewa kuchukuliwa hatua hiyo.
-
Huenda usajili wa wapiga kura DRC ukaakhirishwa, kisa machafuko
Mar 15, 2017 07:04Kanisa Katoliki na Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetahadharisha kuwa, yumkini zoezi la kuwasajili wapiga kura likakosa kufanyika kutoka na kushtadi machafuko na mapigano nchini humo.