-
Kususiwa Biden na Waislamu wa Marekani katika uchaguzi wa mwaka huu (2024)
Jan 02, 2024 08:25Huku Rais Joe Biden wa Marekani akiendelea kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza, Waislamu wa Marekani wameanzisha kampeni dhidi ya Trump katika majimbo kadhaa muhimu kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2024.
-
Uchaguzi wa urais wa 2024 na kuongezeka hatari ya ugaidi ndani ya Marekani
Jan 02, 2024 02:48Jena Marie Griswold, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jimbo la Colorado nchini Marekani, amesema kuwa ametishiwa maisha mara kadhaa baada ya kuwasilisha malalamiko yaliyopelekea kuondolewa jina la Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka huu wa 2024 kwenye orodha ya wagombea katika jimbo hilo.
-
Bolton atangaza kuwa tayari kugombea katika uchaguzi ujao wa Rais wa Marekani
Dec 06, 2022 07:42John Bolton Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani ametangaza kuwa anafikiria kugombea katika uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo mwaka 2024.
-
Uchunguzi: Wamarekani wingi weusi hawawezi kushiriki katika chaguzi za Marekani
Nov 09, 2022 12:21Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa idadi isiyo na kikomo ya raia weusi wa Marekani hawawezi kushiriki katika chaguzi zinazofanyika chini humo.
-
Warepublican wanaogopa mno Trump kugombea urais 2024 nchini Marekani
Jul 26, 2022 02:23Ripoti mbalimbali zinaonesha kuwa, viongozi waandamizi wa chama cha Republican cha nchini Marekani wana wasiwasi mkubwa wa kugombea urais Donald Trump mwaka 2024 kutokana na kashfa nzito zinazomkabili.
-
Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa
Jan 07, 2021 09:56Machafuko, fujo, vurugu, uporaji, ufyatuaji risasi, mauaji, ugaidi, mapinduzi, kukabiliana na mapinduzi; bali kwa kifupi; kashfa ya taifa, ndiyo maneno ambayo kila moja linafasiri matukio ya aibu yaliyotokea jana Jumatano, Januari 6, 2021 nchini Marekani ndani jengo la Congress
-
Radiamali za viongozi duniani kufuatia ghasia za wafuasi wa Trump ndani ya Kongresi; Johnson asema ni fedheha
Jan 07, 2021 03:22Kitendo cha kusitishwa kikao cha pamoja cha bunge la wawakilishi na seneti ya Marekani katika kikao cha kujadili matokeo ya kura za urais baada ya wafuasi wa Donald Trump kufanya ghasia na kuvamia ndani ya jengo la Kongresi kimeplekea viongozi mbalimbali duniani kutoa radiamali zao.
-
Trump amtaka makamu wake asiidhinishe matokeo ya kura za Electoral College
Dec 26, 2020 02:41Rais Donald Trump wa Marekani amemtaka makamu wake Mike Pence asiidhinishe matokeo ya kura za urais zilizopigwa na wawakilishi wateule wa majimbo ya nchi hiyo, Electoral College.
-
Mshauri wa Usalama wa Taifa amtaka Trump atangaze serikali ya kijeshi nchini Marekani
Dec 19, 2020 02:57Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, amemshauri rais wa nchi hiyo, Donald Trump atangaze serikali ya kijeshi ili aweze kulazimisha kurejewa uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais
Dec 13, 2020 10:48Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.