Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Serikali ya Ufaransa yaendeleza hujuma dhidi ya Uislamu, yazuia kampeni ya EU ya kutetea hijabu

    Serikali ya Ufaransa yaendeleza hujuma dhidi ya Uislamu, yazuia kampeni ya EU ya kutetea hijabu

    Nov 04, 2021 04:19

    Kampeni ya Ulaya ya kupambana na hujuma dhidi ya Uislamu na kutetea vazi la staha la hijabu imesimamishwa kutokana na mashinikizo ya serikali ya Ufaransa.

  • Waziri Mkuu wa Australia ajibizana na Rais wa Ufaransa kuhusu mkataba wa nyambizi za nyuklia

    Waziri Mkuu wa Australia ajibizana na Rais wa Ufaransa kuhusu mkataba wa nyambizi za nyuklia

    Nov 02, 2021 02:40

    Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison amejibu tuhuma alizotoa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi yake kuhusiana na kuvunjwa kwa mkataba wa ununuzi wa nyambizi za nyuklia kutoka Ufaransa.

  • Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris

    Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris

    Oct 31, 2021 07:05

    Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana Paris.

  • Mwanaharakati Rémy Daillet ashtakiwa kwa kupanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Ufaransa

    Mwanaharakati Rémy Daillet ashtakiwa kwa kupanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Ufaransa

    Oct 29, 2021 08:46

    Mwanaharakati maarufu wa mrengo wenye siasa kali wa kulia nchini Ufaransa ameshtakiwa kwa tuhuma za ugaidi, kula njama ya kupindua serikali ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo na kuunda genge la wahalifu wa kuvuruga amani nchini humo.

  • Wanajeshi Sudan waendelea kukabiliana na waandamanaji; vurugu zatawala

    Wanajeshi Sudan waendelea kukabiliana na waandamanaji; vurugu zatawala

    Oct 29, 2021 04:36

    Vyombo vya usalama nchini Sudan vimeendelea kupambana na waandamanaji wenye hasira wanaoipinga mapinduzi ya kijeshi ya Jumatatu iliyopita ambayo yamezidi kuzorotesha kipindi cha mpito cha kidemokrasia, na kusababisha ukosolewaji mkubwa kieneo na kimataifa.

  • Kupungua kwa asilimia 90 hatari ya kifo baada ya kupata chanjo ya corona

    Kupungua kwa asilimia 90 hatari ya kifo baada ya kupata chanjo ya corona

    Oct 12, 2021 08:08

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa kisayansi uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa, chanjo zinapunguza kwa asilimia 90 hatari ya kifo na kulazwa hospitali kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19.

  • Algeria yayasusia na kuyawekea vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa

    Algeria yayasusia na kuyawekea vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa

    Oct 11, 2021 23:04

    Taasisi moja ya Algeria imetangaza habari ya kususiwa na kuwekewa vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa nchini humo, ikiwa ni majibu ya Algiers kwa matamshi ya kifidhuli ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron.

  • Tebboune: Algeria si koloni tena la Ufaransa

    Tebboune: Algeria si koloni tena la Ufaransa

    Oct 11, 2021 04:44

    Rais wa Algeria imetangaza kuwa Ufaransa inapasa kusahau kuwa Algeria ni nchi iliyokoloniwa.

  • Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya

    Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya

    Oct 10, 2021 22:58

    Akizungumza karibuni katika mji wa Montpellier na viongozi wa nchi za Kiafrika za eneo la Sahel, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa kwa kushiriki katika mashambulio ya kijeshi yaliyofanyika dhidi ya Libya nwaka 2011.

  • Kufichuliwa kashfa ya kulawitiwa mamia ya watoto katika makanisa ya Katoliki nchini Ufaransa

    Kufichuliwa kashfa ya kulawitiwa mamia ya watoto katika makanisa ya Katoliki nchini Ufaransa

    Oct 05, 2021 23:38

    Katika miaka ya hivi karibuni kashfa za kubaka na kunajisi za makasisi, maaskofu na maafisa wa kanisa Katoliki nchini Marekani na barani Ulaya zimekabiliwa na wimbi kubwa la ukosoaji dhidi ya Vatican.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS