Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Kufichuliwa kashfa ya kulawitiwa mamia ya watoto katika makanisa ya Katoliki nchini Ufaransa

    Kufichuliwa kashfa ya kulawitiwa mamia ya watoto katika makanisa ya Katoliki nchini Ufaransa

    Oct 05, 2021 23:38

    Katika miaka ya hivi karibuni kashfa za kubaka na kunajisi za makasisi, maaskofu na maafisa wa kanisa Katoliki nchini Marekani na barani Ulaya zimekabiliwa na wimbi kubwa la ukosoaji dhidi ya Vatican.

  • Watoto laki 3 elfu 30 wamefanyiwa ukatili wa kingono na viongozi wa Kanisa Katoliki

    Watoto laki 3 elfu 30 wamefanyiwa ukatili wa kingono na viongozi wa Kanisa Katoliki

    Oct 05, 2021 23:37

    Ripoti iliyotolewa na jopo huru la uchunguzi imebaini kuwa katika kipindi cha miaka 70 iliyopita karibu watoto laki tatu elfu 30 wamefanyiwa ukatili wa kingono katika makanisa Katoliki na taasisi nyingine za kanisa hilo nchini Ufaransa

  • Ufaransa yataka kuondolewa mivutano katika uhusiano wake na Algeria

    Ufaransa yataka kuondolewa mivutano katika uhusiano wake na Algeria

    Oct 05, 2021 23:36

    Rais wa Ufaransa ametoa wito wa kuondolewa mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Algeria.

  • Tunisia yasikitishwa na uamuzi wa Ufaransa wa kupunguza viza kwa raia wake

    Tunisia yasikitishwa na uamuzi wa Ufaransa wa kupunguza viza kwa raia wake

    Oct 04, 2021 00:42

    Rais Kais Saied wa Tunisia amefanya mazungumzo na simu na Rais mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kusikitishwa na umauzi uliochukuliwa na Paris wa kupunguza idadi ya viza zilizokuwa zikitolewa kwa raia wa Tunisia wanaotaka kuelekea Ufaransa.

  • Mvutano katika uhusiano wa Algeria na Ufaransa

    Mvutano katika uhusiano wa Algeria na Ufaransa

    Oct 03, 2021 13:43

    Usiku wa Jumamosi iliyopita serikali ya Algeria ilimwita nyumbani balozi wake nchini Ufaransa kwa ajili ya mashauriano ikilalamikia matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron dhidi ya nchi hiyo.

  • Ripoti: Kanisa Katoliki Ufaransa lina maelfu ya makasisi waliolawiti watoto

    Ripoti: Kanisa Katoliki Ufaransa lina maelfu ya makasisi waliolawiti watoto

    Oct 03, 2021 09:19

    Maelfu ya makasisi na maafisa wengine wa Kanisa Katoliki nchini Ufaransa wanakabiliwa na tuhuma za kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kingono watoto wadogo.

  • Taasisi mbalimbali Ufaranza zataka kufichuliwa uuzaji wa silaha wa nchi hiyo kwa Saudia na Imarati

    Taasisi mbalimbali Ufaranza zataka kufichuliwa uuzaji wa silaha wa nchi hiyo kwa Saudia na Imarati

    Sep 24, 2021 08:04

    Taasisi zisizo za serikali nchini Ufaransa zimetaka kuwekwa wazi taarifa ya ushuru wa forodha kuhusu uuzaji silaha wa nchi hiyo kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).

  • Programu ya ujasusi ya Israel imedukua simu za mawaziri wasiopungua 5 wa Ufaransa

    Programu ya ujasusi ya Israel imedukua simu za mawaziri wasiopungua 5 wa Ufaransa

    Sep 24, 2021 04:13

    Imefichuliwa kuwa programu ya ujasusi ya Israel ya Pegasus imedukua na kufanya ujasusi katika simu za rununu (mobile phone) za mawaziri wasiopungua 5 wa serikali ya Ufaransa.

  • Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa

    Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa

    Sep 23, 2021 22:46

    Kufuatia mazungumzo ya simu ya Marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa hapo siku ya Jumatano, viongozi hao wametoa taarifa ya pamoja wakisema wameamua kuendelea na mashauriano kwa ajili ya kutatua hitilifu zilizojitokeza baina ya pande mbili kuhusu mkataba wa kiusalama wa AUKUS.

  • Rais wa Ufaransa awaomba radhi wananchi wa Algeria

    Rais wa Ufaransa awaomba radhi wananchi wa Algeria

    Sep 21, 2021 22:59

    Hatimaye baada ya kupita miongo mingi tangu Wafaransa watende jinai nchini Algeria na katika hali ambayo, kumekuwa kukifichuliwa nyaraka mpya za jinai hizo, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewaomba radhi wananchi wa Algeria na kuahidi kupasishwa sheria katika siku za usoni ambayo itatoa fidia kwa nchi hiyo ya Kiafrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS