-
Misimamo mipya ya chuki dhidi ya Uislamu ya rais Macron wa Ufaransa
Apr 25, 2021 11:07Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa mara nyingine tena ameunasibisha Uislamu na ugaidi na kujeruhi hisia za Waislamu duniani kote.
-
Malalamiko dhidi ya marufuku ya hijabu nchini Ufaransa yaendelea
Apr 23, 2021 07:32Azimio la Baraza la Seneti la Ufaransa la kuwapiga marufuku mabinti wa Kiislamu na mama zao kuvaa vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu katika maeneo ya uma limeendelea kulalamikiwa.
-
Polisi ya Ufaransa imemtahadharisha Macron kuhusu kuongezeka ghasia za mitaani
Apr 20, 2021 03:25Polisi ya ufaransa imemtahadharisha Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusu kuongezeka ghasia na machafuko ya mitaani.
-
Mshauri wa Rais wa Algeria: Ufaransa ilieneza ujinga nchini zama za ukoloni
Apr 19, 2021 06:51Mshauri wa Rais wa Algeria amesema kuwa Ufaransa ilifanya kazi ya kueneza ujinga wa kutojua kusoma na kuandika wakati wa ukoloni wa nchi hiyo nchini Algeria.
-
Algeria: Ufaransa itaendelea milele kuwa adui wa taifa letu
Apr 10, 2021 23:07Waziri wa Kazi wa Algeria ametoa taarifa rasmi na huku akiashiria ripoti zilizofichua kwamba Ufaransa ilifanya majaribio ya nyuklia katika ardhi ya Algeria amesema, mkoloni huyo wa Ulaya ataendelea daima na milele kuwa adui wa taifa letu, kama ambavyo hivi sasa pia Ufaransa ni adui mkongwe na wa zamani sana wa Algeria.
-
Dunia yaendelea kukosoa azimio la Seneti ya Ufaransa kuhusu marufuku ya hijabu
Apr 10, 2021 23:06Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Ufaransa na maeneo mengine ya dunia wameanzisha kampeni iliyopewa jina la Hands Off My Hijab (@handsoffmyhijab) wakieleza hasira zao dhidi ya azimio la Baraza la Seneti la Ufaransa la kuzidisha vizuizi na marufuku dhidi ya vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, Hijabu. Watu wengi wamesema kuwa azimio hilo linapiga vita Uislamu.
-
Hatua mpya ya Ufaransa ya kuwabana Waislamu wasivae Hijabu yalaaniwa vikali
Apr 09, 2021 23:06Uamuzi wa Baraza la Seneti la Ufaransa wa kupasisha mpango unaopiga marufuku wasichana wenye umri chini ya miaka 18 kuvaa Hijabu katika maeneo ya umma umelaaniwa na kukosolewa vikali ndani ya nchi hiyo na katika kila pembe ya dunia.
-
Kuendelea sera za ubaguzi wa rangi barani Ulaya na malalamiko ya wananchi
Apr 04, 2021 22:01Suala la Ubaguzi wa rangi limegeuka na kuwa tatizo kubwa kabisa kwa raia wa mataifa ya Ulaya.
-
Jumuiya ya Wasomi wa Kiislamu yalaani ombi la Ufaransa la misikiti kubariki ndoa za mashoga
Mar 27, 2021 22:46Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu imelaani wito wa serikali ya Ufaransa iliyowataka maimamu wa misikiti nchini humo kubariki na kuhalalisha ndoa baina ya mashoga na watu wenye jinsia moja, ikisisitiza kuwa wito huo unaonyesha msimamo wa kindumakuwili dhidi ya Uislamu.
-
Wanajeshi wa Ufaransa waua tena raia wengine kadhaa nchini Mali
Mar 27, 2021 07:13Kundi moja la wanamgambo wenye silaha limesema kuwa, jeshi la Ufaransa limeua raia watano wengine katika shambulio la anga kaskazini mwa Mali.