-
Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya
Mar 26, 2021 22:00Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.
-
Spishi mpya ya kirusi cha corona yagunduliwa nchini Ufaransa
Mar 16, 2021 08:52Idara Kuu ya Afya na Tiba ya Ufaransa imetangaza kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona nchini humo.
-
Ufaransa: Azimio dhidi ya Iran litapigiwa kura siku zijazo
Mar 03, 2021 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema kuwa azimio la kuikosoa Iran limepangwa kupigiwa kura siku zijazo katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA).
-
Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
Feb 18, 2021 22:53Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na kushadidi mashinikizo dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa unaonekana kushtadi na kuchukua mkondo mpana zaidi katika miaka ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Bunge la Ufaransa lapitisha sheria iliyo dhidi ya Uislamu
Feb 17, 2021 04:34Bunge la Ufaransa jana Jumanne lilipitisha sheria iliyo dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad
Feb 16, 2021 22:54Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.
-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufaransa kuhusu namna ya kulinda mapatano ya JCPOA
Feb 16, 2021 04:23Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufanrasa jana usiku walifanya mashauriano kuhusu masuala tofauti yakiwemo jinsi ya kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vile vile hali ya msambao wa kasi wa virusi vya corona barani Ulaya.
-
Maandamano ya Paris Ufaransa ya kupinga ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu
Feb 15, 2021 08:56Mwenedo wa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Ufaransa ungali unaendelea ambapo Waislamu wa nchi hiyo wamekuwa wakikabiliwa na mashinikizo makubwa.
-
Maandamano yaendelea Paris Ufaransa, kupinga ukandamizaji dhidi ya Waislamu
Feb 15, 2021 04:22Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga sheria kali za kuwakandamiza Waislamu nchini humo yanaendelea hasa dhidi ya mpango mpya wa nchi hiyo ya kuwabana zaidi ya Waislamu.
-
Iran yajibu bwabwaja za Ufaransa juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 30, 2021 23:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema silaha za Ufaransa na nchi nyingine za Magharibi ndilo chimbuko kuu la ukosefu wa uthabiti katika eneo la Ghuba ya Uajemi.