-
Waislamu wa Ufaransa wamjia juu Macron kwa matamshi yake dhidi ya Uislamu
Oct 07, 2020 04:26Waislamu nchini Ufaransa wamekosoa vikali kauli ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusu Uislamu na kusisitiza kuwa, matamshi ya rais huyo ni ya kibaguzi.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya maulama wa Kiislamu yapinga matamshi ya Rais wa Ufaransa kuhusu Uislamu
Oct 03, 2020 23:17Mkuu wa Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu amejibu matamshi ya kihasama ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu Uislamu na kusema kuwa Uislamu hauko wala hautakuwa katika mgogoro.
-
Jitihada za Macron za kuhalalisha muswada dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
Oct 03, 2020 23:13Hujuma na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya viliongezeka sana baada ya matukio ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani; na mashambulizi ya kundi la kigaidi na lenye misimamo mikali la Daesh katika baadhi ya nchi za Ulaya kama Ufaransa na Uingereza yamezidisha chuki na uhasama dhidi ya Waislamu. Hivi sasa serikali ya Ufaransa ina mpango wa kupasisha sheria ya kuimarisha hujuma na vita dhidi ya Uislamu.
-
Kauli za chuki za Macron dhidi ya Uislamu zawaudhi Waislamu na wanaharakati nchini Ufaransa
Oct 03, 2020 09:16Waislamu wa Ufaransa wameudhika kwa kauli za chuki dhidi ya Uislamu zilizotolewa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron.
-
Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon
Sep 28, 2020 06:02Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Ufaransa yaanza kuchunguza jinai dhidi ya binadamu zilizofanywa na benki ya nchi hiyo huko Sudan
Sep 25, 2020 04:54Mahakama moja ya Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na benki moja ya nchi hiyo nchini Sudan.
-
Rais Macron: Mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran yamefeli
Sep 23, 2020 04:37Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kuwa, sera ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imegonga mwamba.
-
Wabunge wa Ufaransa nao wapinga mapatano ya Imarati, Bahrain na Israel
Sep 21, 2020 10:10Wabunge 61 wa Bunge la Ufaransa wamekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano baina ya Imaratina Bahrain na utawala haramu wa Israel.
-
Wabunge wenye chuki wa Ufaransa wahamakishwa na hijabu bungeni
Sep 20, 2020 22:56Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu barani Ulaya, mbunge mmoja wa chama tawala cha Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameongoza wabunge wenzake kutoka kwenye ukumbi wa bunge, eti kulalamikia uwepo wa mwanafunzi aliyevalia hijabu ndani ya taasisi hiyo ya taifa ya kutunga sheria.
-
Ufaransa yakadhibisha madai ya Marekani dhidi ya Hizbullah
Sep 19, 2020 08:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema hakuna ushadidi wowote unaoonyesha kuwa tawi la kijeshi la harakati ya Hizbullah ya Lebanon limefanya magendo ya kemikali kwa ajili ya kutengeneza mada za mlipuko nchini Ufaransa, kama inavyodai Marekani.