Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Jumanne, Mei 26, 2020

    Jumanne, Mei 26, 2020

    May 25, 2020 21:51

    Leo ni Jumanne tarehe 3 Mfunguo Mosi Shawwal 1441 Hijria, sawa na tarehe 26 Mei, 2020 Miladia.

  • Radiamali ya Ufaransa kuhusu jitihada za Marekani za kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    Radiamali ya Ufaransa kuhusu jitihada za Marekani za kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    May 16, 2020 03:34

    Ufaransa imetoa radiamali yake kuhusu vitisho vya Marekani vya kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa inafungamana na mapatnao ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Senegal yalalamikia kitendo cha Ufaransa cha kuanzisha safari za ndege za upande mmoja kuingia Dakar

    Senegal yalalamikia kitendo cha Ufaransa cha kuanzisha safari za ndege za upande mmoja kuingia Dakar

    May 15, 2020 21:58

    Rais Macky Sall wa Senegal amelaani kitendo cha shirika la ndege la Ufaransa kuanzisha safari za upande mmoja kuingia mjini Dakar, mji mkuu wa Senegal na kusisitiza kwamba, hadi sasa Ufaransa bado inazihesabu nchi za Afrika kuwa ni koloni lake.

  • Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa

    Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa

    May 08, 2020 06:56

    Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, nusu ya wakazi wa nchi hiyo waliuawa katika jinai kubwa ya umwagaji damu iliyofanywa na Ufaransa katika kipindi cha ukoloni; na kupita zama katu hakuwezi kufuta jinai hizo katika kurasa za historia.

  • Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano

    Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano

    May 06, 2020 20:09

    Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

  • Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Apr 30, 2020 07:35

    Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.

  • Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi

    Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi

    Apr 18, 2020 22:07

    Mtazamo wa Profesa Luc Antoine Montagnier wa Ufaransa ambaye ni mmoja kati ya wavumbuzi wa virusi vya Ukimwi anayesema virusi vya corona vimetokana na makosa yaliyotokea kwenye maabara, umezusha mjadala mkubwa katika duru za wanasayansi.

  • Kampuni ya Total ya Ufaransa inatuhumiwa kueneza virusi vya Corona nchini Msumbiji

    Kampuni ya Total ya Ufaransa inatuhumiwa kueneza virusi vya Corona nchini Msumbiji

    Apr 17, 2020 20:12

    Maafisa Afya wa Msumbiji wamesema kuwa kampuni ya mafuta ya Total ya Ufaransa imehusika kueneza maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

  • Uwezekano wa kufungwa mipaka ya Umoja wa Ulaya kwa miezi mingine sita

    Uwezekano wa kufungwa mipaka ya Umoja wa Ulaya kwa miezi mingine sita

    Apr 13, 2020 05:27

    Rais wa Ufaransa ametahadharisha kuwa huenda mipaka ya nchi wanachama wa eneo la Schengen ikafungwa kwa miezi mingine sita ijayo.

  • Waziri wa Afya wa Ufaransa atahadharisha kuhusu kufikia kileleni mlipuko wa Corona

    Waziri wa Afya wa Ufaransa atahadharisha kuhusu kufikia kileleni mlipuko wa Corona

    Apr 07, 2020 19:04

    Waziri wa Afya wa Ufaransa ametahadharisha kuwa nchi hiyo inakaribia kushuhudia kilele za mlipuko wa virusi vya corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS