Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao

    Apr 27, 2019 08:28

    Raia wa Libya wamefanya maandamano katika medani kuu ya mji wa Tripoli wakiwa wamevalia vizibao vya njano kama wanavyofanya washiriki wa maandamano ya vizibao vya njazo kupinga siasa za kiuchumi za serikali ya Ufaransa, ambapo nao wamelaani mienendo hasi ya serikali ya Paris dhidi ya nchi yao.

  • Balozi wa Ufaransa Washington: Mpango wa Marekani wa muamala wa Karne umeshindwa zamani

    Balozi wa Ufaransa Washington: Mpango wa Marekani wa muamala wa Karne umeshindwa zamani

    Apr 22, 2019 22:52

    Balozi wa Ufaransa mjini Washington amesisitiza kuwa, kuna asilimia 99 ya uwezekano wa kufeli mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" wa eti kutatua mgogoro wa Palestina na Israel.

  • Taasisi za Kiislamu za Ufaransa: Imarati na Misri zinawapaka matope Waislamu

    Taasisi za Kiislamu za Ufaransa: Imarati na Misri zinawapaka matope Waislamu

    Apr 22, 2019 22:51

    Umoja wa Taasisi za Kiislamu za Ufaransa umesema kuwa, vitendo vya Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri vinaupaka matope Uislamu duniani na kupelekea kuongezeka mashambulizi dhidi ya Waislamu barani Ulaya.

  • Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC

    Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC

    Apr 13, 2019 03:37

    Ufaransa imesema itaendelea kushirikiana na Iran licha ya hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.

  • Rouhani: Kama si jitihada za IRGC, nchi mbili za eneo zingekuwa zinadhibitiwa na magaidi wa Daesh

    Rouhani: Kama si jitihada za IRGC, nchi mbili za eneo zingekuwa zinadhibitiwa na magaidi wa Daesh

    Apr 10, 2019 03:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) halingeingilia kati, basi kwa uchache mataifa mawili katika eneo hili la Asia Magharibi yangekuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Rais wa Ufaransa atoa amri ya kuchunguzwa nafasi ya Paris katika mauaji ya halaiki nchini Rwanda

    Apr 06, 2019 21:57

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameipatia kamisheni moja ya nchi hiyo jukumu la kufuatilia iwapo Paris ilikuwa na nafasi katika mauaji ya halaiki ya muongo wa 90 nchini Rwanda au la.

  • Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand

    Mar 26, 2019 03:07

    Baraza la Waislamu nchini Ufaransa (CFCM) limeifungulia mashitaka mitandao ya kijamii ya Facebook na You Tube kwa kurusha hewani mubashara mauaji ya kutisha ya Waislamu nchini New Zealand.

  • Mataifa mbalimbali yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia janga la mafuriko Iran

    Mataifa mbalimbali yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia janga la mafuriko Iran

    Mar 25, 2019 22:38

    Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Iran na kupelekea kwa akali watu 19 kufariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa, balozi za nchi mbalimbali hapa Tehran zimetoa mkono wa pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao walioaga dunia katika maafa haya ya mafuriko.

  • Mashirika ya kutetea haki za bindamu yaitaka Ufaransa isitishe mauzo ya silaha zake kwa Saudia

    Mashirika ya kutetea haki za bindamu yaitaka Ufaransa isitishe mauzo ya silaha zake kwa Saudia

    Mar 21, 2019 20:48

    Mashirika 12 ya Yemen na ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameitaka Ufaransa isitishe uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia, na kujishughulisha zaidi na mambo ambayo yatasaidia kukomesha vita dhidi ya Yemen.

  • Maandamano ya

    Maandamano ya "Vizibao vya Njano" yafanyika kwa wiki ya 18 Ufaransa

    Mar 17, 2019 01:13

    Maandamano ya vugu vugu la "Vizibao vya Njano" yameendelea katika mitaa ya mji mkuu wa Ufaransa, Paris na miji mingine ya nchi hiyo kwa wiki ya 18 mfululizo huku waandamanaji wakiyataja maandamano ya jana kuwa ya "Makataa."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS