-
Maandamano ya Vizibao vya Njano yafanyika kwa wiki ya 17 dhidi ya Macron, Ufaransa
Mar 09, 2019 11:39Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga siasa za serikali ya nchi hiyo mashuhuri kama maandamano ya harakatri ya Visibao vya Njano yamefanyika leo kwa wiki ya 17.
-
Ijumaa tarehe Mosi machi 2019
Feb 28, 2019 23:44Leo ni Ijumaa tarehe 23 Jumadithani 1440 Hijria sawa na tarehe Mosi machi 2019.
-
Serikali ya Ufaransa yalaumiwa ndani na nje ya nchi kwa kuingilia kijeshi mgogoro wa Chad
Feb 14, 2019 12:07Uingiliaji wa serikali ya Ufaransa katika mchakato wa kisiasa nchini Chad kwa madai na kisingizio cha kupambana na ugaidi umeibua wimbi la lawama na ukosoaji ndani ya nchi zote mbili.
-
Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka kwa 74% nchini Ufaransa
Feb 12, 2019 23:02Serikali ya Ufaransa imesema vitendo na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi katika nchi hiyo ya Ulaya yameongezeka kwa asilimia 74, rekodi ambayo haijawahi kushuhudiwa tena.
-
Mvutano usio wa kawaida wa kisiasa kati ya Ufaransa na Italia; ufa unaozidi kupanuka katika Umoja wa Ulaya
Feb 09, 2019 00:14Umoja wa Ulaya umekuwa ukikabiliwa na changamoto kadhaa katika miaka ya hivi karibuni na tofauti za mitazamo kuhusiana na jinsi ya kukabiliana nazo zimezidi kuongeza nyufa katika umoja huo.
-
Taarifa: Ufaransa ilifahamu njama za mauaji ya kimbari Rwanda
Feb 07, 2019 19:08Shirika la Ujasusi la Ufaransa DGSE lilikuwa na taarifa za kiitelijensia kuhusu njama ya mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauaji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.
-
Harakati ya Vizibao vya Njano nchini Ufaransa yakosoa vikali matamshi ya Rais Macron kuhusu Venezuela
Jan 26, 2019 10:42Harakati inayopinga mfumo wa kibepari nchini Ufaransa inayoitwa 'Harakati ya Vizibao vya Njano' imekosoa matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusiana na Venezuela.
-
Rais wa Ufaransa akosoa sera za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 24, 2019 11:27Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema hatua ya Israel na kuzivamizi na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina imeweka hatarini mazungumzo baina ya utawala huo na Palestina.
-
Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake
Jan 14, 2019 23:11Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itachukua hatua ya lazima na mwafaka mkabala na kitendo chochote kile cha kiuadui ambacho kitakuwa dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Iran.
-
Maandamano ya harakati ya Vizibao vya Njano yaanza tena Ufaransa
Jan 12, 2019 10:10Wananchi wa Ufaransa wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakiendelea kupinga mfumo wa ubepari na sera za kiuchumi za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo.