Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Akthari ya watu wa bara la Ulaya wanamchukia Trump

    Akthari ya watu wa bara la Ulaya wanamchukia Trump

    Nov 04, 2017 23:41

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa akthari ya watu katika nchi za Ulaya wanamchukia Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika

    Nov 03, 2017 01:02

    Rais Vladmir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesema kuwa, kuangaliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA, ni jambo lisilokubalika.

  • Jumanne 31 Oktoba, 2017

    Jumanne 31 Oktoba, 2017

    Oct 31, 2017 01:14

    Jumanne tarehe 11 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 31, 2017.

  • Rwanda yaitaka Ufaransa kubeba dhima ya kuhusika na mauaji ya kimbari ya 1994

    Rwanda yaitaka Ufaransa kubeba dhima ya kuhusika na mauaji ya kimbari ya 1994

    Oct 30, 2017 09:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda ameitaka Ufaransa kubeba dhima ya kuhusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya watu wa kabila la Tutsi nchini humo.

  • Sisitizo la kuimarishwa kikosi cha kijeshi cha kundi la 5 la nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Sisitizo la kuimarishwa kikosi cha kijeshi cha kundi la 5 la nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Oct 24, 2017 01:03

    Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimesisitiza kuimarishwa zaidii kikosi cha wanajeshi wa nchi tano za eneo la Sahel barani Afrika kwa jina la G-5 ili kutekeleza oparesheni za kupambana na ugaidi katika eneo hilo.

  • Macron: EU itaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Macron: EU itaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 20, 2017 22:57

    Rais wa Ufaransa amesema kuwa Ulaya inafanya kila liwezekanalo kulinda makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la 5+1 na Iran na kwamba yeye pia yuko tayari kuanza mazungumzo na Iran kuhusu miradi ya makombora na ushawishi wa nchi hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Waziri wa zamani wa Ufaransa aitwa mahakamani kwa kushirikiana na magaidi Syria

    Waziri wa zamani wa Ufaransa aitwa mahakamani kwa kushirikiana na magaidi Syria

    Oct 15, 2017 23:03

    Habari kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo ya Ulaya ameitwa mahakamani kujibu tuhuma za kushirikiana na magenge ya kigaidi nchini Syria.

  • Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    Kutoridhishwa Ulaya na msimamo wa Trump ulio dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    Oct 15, 2017 04:45

    Viongozi wa nchi tatu kubwa za Ulaya yaani Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza, Angela Merkel Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameleeza wasiwasi wao kupitia taarifa ya pamoja waliyotoa kuhusu msimamo usiofaa wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu JCPOA. Taarifa ya viongozi hao wa nchi tatu kubwa za Ulaya imetolewa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani kuhusiana na stratejia ya nchi hiyo mkabala na Iran.

  • Umasikini waongezeka katika jamii ya Ufaransa

    Umasikini waongezeka katika jamii ya Ufaransa

    Oct 14, 2017 23:26

    Takwimu zilizotangazwa na Asasi ya Kimataifa ya Kupambana na Umasikini nchini Ufaransa zinaonyesha kuwa, tatizo la kijamii la umasikini limeongezeka mjini katika nchi hiyo ya bara Ulaya katika kipindi cha miaka kumi ya hivi karibuni.

  • Ijumaa tarehe 13 Oktoba, 2017

    Ijumaa tarehe 13 Oktoba, 2017

    Oct 12, 2017 23:12

    Leo ni Ijumaa tarehe 22 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 13, 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS