-
Radiamali ya viongozi wa Ulaya kuhusu mgogoro wa wakimbizi wa Kiafrika
Oct 11, 2017 04:43Rais Emannuel Macron wa Ufaransa Jumamosi iliyopita aliarifu kuhusu kuasisiwa ofisi ya kuwapokea wakimbizi katika nchi mbili za Kiafrika. Alisema kuwa katika wiki zijazo kabla ya kumalizika mwezi huu wa Oktoba, ofisi hizo zitaasisiwa huko Chad na Niger kwa ajili ya kuwatambaua raia waliotimiza masharti ya kuwa wakimbizi.
-
Mashauriano ya wawakilishi wa Afrika na Ufaransa katika "Kikao cha Afrika 2017"
Oct 07, 2017 08:14Kikao cha siku mbili chini ya anuani "Afrika 2017" kimefanyika kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa pande mbili za Afrika na Ufaransa.
-
Ufaransa yashangazwa na Trump kuzuia raia wa Chad kuingia Marekani
Sep 27, 2017 22:58Serikali ya Ufaransa imekosoa vikali hatua ya Washington ya kuijumuisha Chad katika orodha ya nchi ambazo raia wake wamepigwa marufuku kuingia Marekani.
-
Alkhamisi, 21 Septemba, 2017
Sep 20, 2017 21:56Leo ni Alkhamisi tarehe 30 Dhulhija 1438 Hijria sawa na Septemba 21, 2017.
-
Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran
Sep 19, 2017 23:24Rais wa Ufaransa amesema nchi yake itatetea mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita duniani katika vikao vya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalokutana mjini New York.
-
Uchunguzi: Zaidi ya asilimia 30 ya Wafaransa wanaishi kwenye umasikini
Sep 15, 2017 03:23Uchunguzi uliofanywa nchini Ufaransa unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya raia wa nchi hiyo wanaishi kwenye umasikini.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-2
Sep 02, 2017 10:43Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya pili ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla huko katika nchi za Magharibi.
-
Jumamosi, Septemba Pili, 2017
Sep 01, 2017 22:02Leo ni Jumamosi tarehe 11 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1438 Hijria sawa na tarehe Pili Septemba mwaka 2017 Miladia.
-
Rais wa Ufaransa: Hakuna chaguo mbadala la makubaliano ya nyuklia na Iran
Aug 29, 2017 22:43Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema nchi yake inayaunga mkono kikamilifu makubaliano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Uhajiri; ajenda kuu ya mazungumzo ya viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya mjini Paris
Aug 29, 2017 07:22Jumatatu ya jana tarehe 28 Agosti, viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya walikutana katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kwa mwaliko wa Rais Emmanuel Macron kwa ajili ya kuchunguza njia za kukabiliana na wimbi la wahajiri kutoka nchi za Afrika wanaoelekea barani Ulaya.