-
Ufyatuaji risasi mjini Chicago wapelekea watu 8 kuawa na wengine 16 kujeruhiwa
May 02, 2022 01:30Ikiwa ni katika mwendelezo wa vuruga na ufyatuaji risasi wa kiholela nchini Marekani, matukio kadhaa ya ufyatuaji risasi yameripotiwa mwishoni mwa wiki mjini Chicago ambapo watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine kumi na sita kujeruhiwa.
-
Baada ya makabiliano makali, Rais wa Kazakhstan atangaza kurejeshwa nidhamu, atoa amri ya kupigwa risasi “waasi”
Jan 07, 2022 12:21Televisheni ya taifa ya Kazakhstan imemnukuu Rais wa nchi hiyo, Kassym-Jomart Tokayev, akisema leo Ijumaa kwamba nidhamu na utawala wa kikatiba umerejeshwa katika maeneo mengi ya nchi hiyo.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokea kwenye chuo kikuu, Russia
Sep 20, 2021 06:18Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine wasiopungua 19 wamejeruhiwa baada ya mwanachuo aliyekuwa na silaha kufyatua risasi ndani ya jengo la chuo kikuu cha mji wa Perm ulioko umbali wa kilomita 1,800 mashariki ya mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Watu 430 wauliwa katika ufyatuaji risasi wiki iliyopita nchini Marekani
Jul 26, 2021 03:09Takwimu mpya zinaonyesha kuwa watu wasiopungua 430 wameuawa katika mashambulizi 915 ya kufyatuana risasi yaliyojiri nchini Marekani wiki iliyopita pekee.
-
Kuongezeka mara tatu ufyatuaji risasi wa mauti dhidi ya watoto mjini Chicago, Marekani
Jun 14, 2021 23:23Matukio ya ufyatuaji risasi wa kutisha dhidi ya watoto yanayousababisha vifo vingi katika mji wa Chicago, Marekani vimeongezeka mara tatu mwaka huu ikilinganishwa na mwaka uliopita wa 2020.
-
Wamarekani zaidi ya elfu 13 wameaga dunia kwa silaha moto tangu mwanzoni mwa mwaka huu
Apr 26, 2021 23:50Ripoti iliyotolewa katika makavazi ya ukatili wa silaha nchini Marekani inaonyesha kuwa, zaidi ya watu elfu 13 wamepoteza maisha katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini humo tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021.
-
60 wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi Marekani
Oct 07, 2020 01:15Watu 60 wameuawa au kujeruhiwa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika maeneo tofauti ya Marekani ndani ya masaa machache yaliyopita.
-
Watu 10 wauawa katika ufyatuaji risasi katika mji wa Chicago nchini Marekani
Sep 09, 2020 20:43Watu 10 wameuawa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika mji wa Chicago kwenye jimbo la Illinois nchini Marekani.
-
Hali ya fadhaa kando ya kasri ya kifalme ya Saudi Arabia
Jul 21, 2020 07:01Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kusikika hii leo milio ya risasi kando ya kasri ya kifalme huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia.
-
Trump awatisha waandamanaji wanaolalamikia ukatili Polisi Marekani dhidi ya Wamarekani Weusi
May 30, 2020 03:44Ukatili usio na kikomo wa Jeshi la Polisi nchini Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika au Wamarekani weusi ambao unafanyika katika fremu ya sera jumla za ubaguzi wa rangi dhidi ya kaumu hiyo umeibua malalamiko makubwa katika siku za hivi karibuni nchini humo. Malalamiko hayo yameibuka baada ya Mmarekani mweusi kuuawa kinyama siku chache zilizopita mikononi mwa afisa wa polisi mzungu.