-
Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua "hatua ya mwisho" ya kulimaliza kundi la Al-Shabaab
Feb 02, 2023 03:53Viongozi wa Somalia na nchi jirani wameahidi katika mkutano wa kilele uliofanyika jana Jumatano katika mji mkuu Somalia, Mogadishu, "kuchukua hatua za mwisho" dhidi ya kundi la Al-Shabaab.
-
Amir- Abdollahian: Dunia inakumbwa na migogoro ya matabaka mengi na tata
Jan 13, 2023 04:06Akizungumza mkutano kwa njia ya mtandao wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa "Sauti ya Kusini",Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza mitazamo na rai za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na masuala muhimu ya kimataifa na nafasi yenye taathira ya nchi za Kusini katika uga wa kimataifa.
-
Ugaidi wa ISIS unavyohudumia maadui wa taifa la Iran
Nov 03, 2022 07:38Jumatano, tarehe 27 Oktoba, damu ya Waislamu waliokuwa wamekwenda kuzuru na kufanya ibada katika Haram tukufu ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ahmad Ibn Musa (as) huko Shiraz kusini mwa Iran, ilimwagwa katika eneo hilo tukufu ambapo gaidi asiye na moyo wa kibinadamu wa kundi la Daesh aliwamiminia risasi ovyo waumini waliokuwa wakitekelea Swala ya Magharibi na kuua 15 Miongoni mwao.
-
Dunia yalaani shambulio la umwagaji damu nchini Iran
Oct 27, 2022 04:44Jamii ya kimataifa imeendelea kutuma salamu za rambirambi na kutoa taarifa za kulaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi ya watu kusini magharibi mwa Iran.
-
Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi
Oct 14, 2022 04:20Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema iwapo Marekani inataka kupambana kwa dhati na ugaidi, sharti iachane na tabia yake ya kuunga mkono makundi ya kigaidi kama lile la Kumalah.
-
Kutochapishwa ripoti ya mateso ya CIA kwa kisingizio cha tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani
Sep 18, 2022 21:55Ripoti ya Seneti ya Marekani kuhusu mpango wa kikatili wa utesaji na kuwahoji washukiwa wa ugaidi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) chini ya anwani "Programu ya Kuhoji Iliyoboreshwa" haitachapishwa kwa sasa.
-
Ennahda yapinga kamatakamata ya wanasiasa nchini Tunisia
Sep 14, 2022 22:44Harakati ya Ennahda nchini Tunisia imelaani vikali kile ilichoeleza kuwa ni kukamatwa kiholela kwa watu kadhaa akiwemo kiongozi wa ngazi ya juu wa harakati hiyo, Habib Al-Louz na kutaka waachiliwe huru mara moja.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 03:51Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.
-
Kuongezeka hujuma za kigaidi barani Afrika
Aug 24, 2022 23:12Kuenea kwa hujuma za kigaidi katika kanda tofauti za bara Afrika, hasa kuongezeka kwa mashambulizi yanayotekelezwa na makundi ya Al-Shabaab huko Somalia na Boko Haram nchini Nigeria, kumepelekea kuibuka wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama barani Afrika na duniani kote.
-
Makumi ya magaidi wauawa kaskazini mwa Nigeria
Aug 12, 2022 21:00Kwa akali wanamgambo 29 wameuawa huku wengine wasiopungua 55 wakitiwa mbaroni katika operesheni ya jeshi la Nigeria kaskazini mashariki mwa nchi.