-
Barhum Salih asisitiza udharura wa kukabiliana na ugaidi na vitisho vya usalama
May 10, 2022 04:13Rais wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ambapo amemueleza kuhusu hatua za karibuni za kupambana na masalia ya kundi la kigaidi la Daesh .
-
Iraq: Kambi ya Marekani inayowahifadhi magaidi mashariki mwa Syria inapaswa kuvunjwa
Apr 10, 2022 11:08Afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa Iraq ametoa wito wa kuvunjwa kambi ya wakimbizi inayodhibitiwa na wanamgambo wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani karibu na mpaka wa Iraq nchini Syria, akisema kambi hiyo inayohifadhi maelfu ya magaidi wa Daesh ni tishio halisi kwa nchi yake.
-
Mahakama ya Sudan yamwachia huru Al-Ghandour na wenzake 12, walikabiliwa na tuhuma za ugaidi
Apr 08, 2022 03:24Mahakama ya Sudan imemwachia huru Mkuu wa Chama cha National Congress Party (chama tawala zamani), Ibrahim Al-Ghandour na wengine 12 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuhujumu utaratibu wa kikatiba na kufadhili ugaidi. Uamuzi wa mahakama hiyo umetajwa kuwa wa mwisho usioweza kukatiwa rufaa.
-
Wanajeshi 8 wa Mali wauawa katika shambulio la wabeba silaha
Apr 01, 2022 03:28Askari wasiopungua wanane wa jeshi la Mali wameuawa baada ya kuviziwa na kushambuliwa na genge moja la wabeba silaha katika mji wa Bandiagara, eneo la Mopti, katikati mwa nchi hiyo.
-
Watu 8 wauawa baada ya magaidi kushambulia treni Kaduna, Nigeria
Mar 30, 2022 06:44Watu wasiopungua wanane wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga treni ya abiria jimboni Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
-
Kuuawa Luteni Jenerali Soleimani ni pigo kubwa kwa mapambano dhidi ya ugaidi
Mar 18, 2022 03:27Mwakilishi wa Iran katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la umoja wa Mataifa amesema, kitendo cha serikali ya Marekani cha kumuua shahidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani kilisababisha pigo kubwa kwa mapambano dhidi ya ugaidi wa eneo.
-
110 wauawa, kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Msikitini Pakistan
Mar 04, 2022 12:21Waislamu wasiopungua 45 wameuawa shahidi leo wakati wa Swala ya Ijumaa katika shambulizi la kigaidi lililofanyika ndani ya msikiti mmoja ulioko katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kupanuka zaidi ugaidi wa ISIS kutoka Afghanistan
Feb 21, 2022 01:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu tishio la ugaidi wa kundi la Daesh (ISIS) unaoenea kutoka Afghanistan. Antonio Guterres amesema magaidi ni hodari sana katika kutumia umbwe wa madaraka.
-
6 wauawa, 13 wajeruhiwa katika shambulio la bomu Somalia
Feb 11, 2022 02:30Watu wasiopungua sita wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika makutano ya barabara yenye shughuli nyingi ya El Gaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
80% ya Wamarekani: Ugaidi wa ndani ni tishio kubwa kwa Marekani
Jan 24, 2022 02:41Akthari ya wananchi wa Marekani wanaamini kuwa, ugaidi wa ndani ya nchi ni tishio kubwa kwa taifa hilo.