-
NGOs zakosoa mradi wa mafuta wa Uganda
Oct 06, 2022 13:43Ripoti iliyotolewa na taasisi mbili za kulinda mazingira zisizo za kiserikali imetahadharisha kuhusu uwezekano wa kujitokeza uharibifu na taathira za kimazingira kutokana na mradi wenye utata unaohusisha kampuni kubwa ya mafuta ya Ufaransa ya TotalEnergies na Shirika la Kitaifa la Mafuta la Offshore la China (CNOOC).
-
Wanamgambo wa ADF waua watu 10 karibu na Uganda
Oct 06, 2022 03:23Kwa akali watu 10 wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na mpaka wa Uganda.
-
Daktari Mtanzania aaga dunia kwa Ebola nchini Uganda
Oct 01, 2022 12:14Daktari mmoja raia wa Tanzania aliyekuwa akifanya kazi nchini Uganda ameaga dunia kutoka na ugonjwa wa Ebola.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati
Sep 25, 2022 06:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New York, Marekani.
-
Uganda yapiga marufuku tamasha la muziki 'lisilo la maadili' linalohusishwa na ngono na dawa za kulevya
Sep 07, 2022 08:02Uganda jana ilipiga marufuku tamasha la muziki la kielektroniki lisilo la maadili ambalo linaathiri maadili na tabia za watoto katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Uganda yalisimamisha shirika linalotetea vitendo vya ufuska
Aug 06, 2022 10:53Serikali ya Uganda imesimamisha shughuli za shirika moja lisilo la kiserikali linalotetea eti haki na maslahi ya mabaradhuli na walioko kwenye mahusiano ya watu wenye jinsia moja.
-
Museveni: Russia imekuwa rafiki mkubwa wa Afrika kwa zaidi ya karne
Jul 27, 2022 13:15Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Russia ni rafiki mkubwa wa Afrika na imekuwa ikiunga mkono harakati za kupambana na ukoloni za mataifa ya bara hilo kwa zaidi ya miaka mia moja.
-
Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda
Jul 26, 2022 11:34Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika.
-
Njaa yaua watu 900 katika eneo la Karamoja, Uganda
Jul 26, 2022 07:54Mamia ya watu wamepoteza maisha kutokana na makali ya njaa katika eneo la Karamoja, kaskazini mwa Uganda.
-
Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Jul 07, 2022 08:09Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili.